Jakaya Kikwete: Lowassa alipopata changamoto na kukaa pembeni, tuliendelea kuwa Marafiki

Viongozi wengi wa upinzani hapa nchini wamesapotiwa sana na Jakaya ,kuna jamaa mmoja wa upinzani kurudi nchini kwanza alimpigia simu Jakaya ili aongee na Mh Rais Samia lkn leo wafuasi wao wanamshambulia Jakaya anyway ndio unafiki wenyewe huo

Binafsi huwa nasema, kifua cha JK kimebeba mengi sana, ndio vile tu ni mtu wa kutabasamu na kuchukulia mambo simple.
 
Amefanya jambo jema kufika kwenye msiba na kutoa maoni yake!
Hata kama walikorofiana huenda kweli walikuwa na ukaribu!
Lakini vile vile kama binadamu hata yeye anatafakari hatima yake! Sote tunapita hapa duniani.
 
Mnafiki mkubwa huyu mkwere; "we do not need these kinds of politicians who use the community tragedy platform to paint the dented relationship in their favor such that is accoladed through generosity pretense."
 
Ukitaka kuwa mnafiki hakikisha hauna soni wala nishai.

Yaani ondoa aibu.

Huyu mzee ana digrii za kutokuwa na soni

Ukiangalia ile hotuba ya jana kwenye msiba ni dhahili kuwa urafiki wao ulishakwisha. Yale yote aliyaongelea unofficially kwenye TV za mtandaoni hakuweza kuyasema mbele ya familia. Toka Lowasa afariki dunia hakuna kitu JK amekiongea kuonyesha kuwa walikuwa ni marafiki wa karibu .....!!
 
Kizee kinafiki sana hiki
 
Nimejifunza sana kuhusu watu wa kufanya nao deal. Nitazidisha umakini sana kwenye circle yangu! Sio kila mtu unatakiwa ufanya naye deal, hata kama ni rafiki yako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…