Jakaya Kikwete: Nilifundishwa kuishi na viongozi wenzangu, upendo ndio kila kitu

Jakaya Kikwete: Nilifundishwa kuishi na viongozi wenzangu, upendo ndio kila kitu

WAKUMBUSHANA NYIMBO ZA USHINDI VITA YA UGANDA

LEO Desemba 05,2021 wazee wa CCM walio wanajeshi akiwemo Rais mstaafu wa awamu wa Nne, Jakaya Kikwete (Lt. Colonel mstaafu) na viongozi Abdulrahman Kinana (Colonel mstaafu), Yusuf Makamba (Luteni mstaafu), Capt Ditopile Mzuzuri wengine wa serikali wameshiriki katika kumbukumbu ya kifo cha baba mzazi wa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Hayati Brigedia Moses Nnauye.. na kutoboa siri ya jinsi walivyoishi kwa ...

huyu mzee aombe ccm iende kutawala milele la sivyo kuna siku atasimama nyuma ya nondo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]......

Duh!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]......

Duh!!
Huyu Mzee hii nchi ngekuwa ni China, sijui kama leo angekuwepo
mtu mwenye upendo hawezi kutanguliza maslahi binafsi akati kuna mamilion ya watanzania wanateseka, serikali inakuhudumia kila kitu bt bado huridhiki unaiibia nchi kwa kuingia mikataba ya kihuni, huyu mzee ni mnafiki wa taifa.
 
Bavicha kila kitu kwenu kibaya.

Kila mtu kwenu mbaya ila awe na akili za kushikiwa kama zenu.

Mnajiona wajuaji na watakatifu sana. Wakati lichama lenu limeshajifia lenyewe. Badala ya kukifufua mmebaki kutetea mapenzi ya jinsia moja(Fatma Karume) mkidhani mnajiimarisha kumbe ndio mnajizika
 
Kwann mwaka huu? Mbona sijawahi kuisikia kumbukumbu hii?

Kuna ujumbe unatumwa na wenye CCM yao kwa wale waliojiunga nayo baadaye sana .

Maneno mazito aliyotoa Mzee Makamba juu ya siasa mfano huko Marekani kutofautiana maono baina ya Edwin Staton na Rais Abraham Lincoln, lakini rais huyo wa Marekani akasema najua Edwin Staton hanikubali lakini sina wasiwasi naye kuwa Edwin Staton anaipenda sana nchi ya Marekani na ni mzalendo hivyo pamoja na tofauti zetu ninamteua kuwa waziri wa Mambo ya Ulinzi wa Marekani. Maneno hayo ana 'share' Mzee Yusuf Makamba katika siku ya Kumbukumbu ya Brigedia Moses Nnyau ambaye pia hakukubali tofauti za mitizamo zijenge uadui ....

Yusuf Makamba -"Anayekuchokoza Usichokozeke, anakushinda hivyo mfanye awe rafiki yako "

A History Of Rivals In The White House
Stanton was in some ways a curious choice for his job. Neither a Republican nor a Lincoln supporter before the war, he was notably unimpressed with the new president on first meeting.8 Aug 2017
1638731167707.png

2017/08/08

Stanton: Lincoln's War Secretary - NPR

mtu mwenye upendo hawezi kutanguliza maslahi binafsi akati kuna mamilion ya watanzania wanateseka, serikali inakuhudumia kila kitu bt bado huridhiki unaiibia nchi kwa kuingia mikataba ya kihuni, huyu mzee ni mnafiki wa taifa.
Mkuu hebu niambie nani ambae hakuiba wakati akiwa Raisi??
 
Back
Top Bottom