Jakaya Kikwete: Nilifundishwa kuishi na viongozi wenzangu, upendo ndio kila kitu

Jakaya Kikwete: Nilifundishwa kuishi na viongozi wenzangu, upendo ndio kila kitu

Mtandao unaanza kwa kasi kujijenga upya. Naona 2025 ni mwaka wa maamuzi kwa wanamtandao tena. Kikwazo kikubwa kwao ilikuwa ni Mwl. Nyerere, ila kwa mazingira ya sasa hakuna tena wa kuwazuia.
Una umri gani? Unaweza kumzuia Rais kuwa Rais.. mtandao unaosema ni 2030 , na kwa jinsi Magufuli alivyooonyesha nguvu ya Urais labda aliekuwepo asipende kuendelea kutawala.
 
Je watafanya pia kumbukumbu za Ngombale Mwillu, Baruti, Mzindakaya, Mhaville, Kolimba, Gama, Ditopile ? Hili genge wana lao jambo!!!
Argumentum ad hominem.....

Jambo lipi?!!😳

Obsessive compulsions zimekujaa.......
 
LEO Desemba 05, 2021

NILIFUNDISHWA Kuishi na VIONGOZI Wenzangu, UPENDO Ndio KILA KITU"

LEO Desemba 05, Rais mstaafu wa awamu wa Nne, Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa serikali wameshiriki katika kumbukumbu ya kifo cha baba mzazi wa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Hayati Brigedia Moses Nnauye..
Baba mzazi kweli kweli?

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
2991488_images_7.jpeg
Bavicha kila kitu kwenu kibaya.
Kila mtu kwenu mbaya ila awe na akili za kushikiwa kama zenu.
Mnajiona wajuaji na watakatifu sana. Wakati lichama lenu limeshajifia lenyewe. Badala ya kukifufua mmebaki kutetea mapenzi ya jinsia moja(Fatma Karume) mkidhani mnajiimarisha kumbe ndio mnajizika
 
Ukisikiliza kwa makini bila ya kuweka ushabiki na chuki unaona kabisa hawa wazee waliwahi kupigania nchi kwa namna moja au nyingine hongera kwao.

Sikuwahi kujua kama ditopile alikuwa mjeshi!
Au baba yake nape nae alikua mjeshi, so hii hafla hata kama itaonekana kuna mengine ndani yake lakini kuna historia tumepata.
Historia ya kuiba?
 
Hivi mtu kuwa mjeshi ndio amepigania nchi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom