Jakaya Kikwete: Nilifundishwa kuishi na viongozi wenzangu, upendo ndio kila kitu

Jakaya Kikwete: Nilifundishwa kuishi na viongozi wenzangu, upendo ndio kila kitu

Hivi mtu kuwa mjeshi ndio amepigania nchi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
JWTZ wamepita/wana majenerali wengi.....wote wakumbukwe kwa kipi?!!!!

Ukiona El Comandante Moses Nnauye anawakusanya watu katika kumbukizi ujue kuna ALAMA nzito ameziachia taifa hili......

HASTA LA VICTORIA EL COMANDANTE MOSES NNAUYE🙏

#Siempre JMT🙏
 
JWTZ wamepita/wana majenerali wengi.....wote wakumbukwe kwa kipi?!!!!

Ukiona El Comandante Moses Nnauye anawakusanya watu katika kumbukizi ujue kuna ALAMA nzito ameziachia taifa hili......

HASTA LA VICTORIA EL COMANDANTE MOSES NNAUYE[emoji120]

#Siempre JMT[emoji120]
Ujinga mtupu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
... tena Brigedia Nnauye aliongoza tume ya ukombozi wa nchi za kusini mwa Afrika; enzi hizo ukombozi umeshika kasi. Mwanafunzi mwaminifu wa Mwalimu.
Hapo kwa Nnauye kuongoza Kamati (siyo tume) ya ukombozi umechapia,hiyo iliongozwa na Major (wakati huo) Hashim Mbita.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
LEO Desemba 05, 2021

NILIFUNDISHWA Kuishi na VIONGOZI Wenzangu, UPENDO Ndio KILA KITU"

LEO Desemba 05, Rais mstaafu wa awamu wa Nne, Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa serikali wameshiriki katika kumbukumbu ya kifo cha baba mzazi wa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Hayati Brigedia Moses Nnauye..

Toka Maktaba

15 October 2013

JK AONGEA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA, ALIPOWAKARIBISHA IKULU

Rais Jakaya Kikwete akiongea na viongozi wa vyama vya upinzani alipowakaribisha Ikulu. Viongozi hao walikuwemo Prof. Ibrahim Lipumba, Freeman Mbowe, Mzee Cheyo, James Mbatia na wengineo wengi

LEO Desemba 05, 2021

NILIFUNDISHWA Kuishi na VIONGOZI Wenzangu, UPENDO Ndio KILA KITU"

LEO Desemba 05, Rais mstaafu wa awamu wa Nne, Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa serikali wameshiriki katika kumbukumbu ya kifo cha baba mzazi wa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Hayati Brigedia Moses Nnauye..

Huyu mzee atulie tu
 
Kwa Kuwa FISADI PAPA!!! Given a chance it could easily be proved in a court of law!! These are not mere assertions.
Are you going to lift the absolute immunity and bring up a civil litigation for the acts undertaken during his tenure?!!!

Otherwise you are just throwing childish temper tantrums......
 
Back
Top Bottom