Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
ha kila kitu kwenu kibaya.
Kila mtu kwenu mbaya ila awe na akili za kushikiwa kama zenu.
Mnajiona wajuaji na watakatifu sana. Wakati lichama lenu limeshajifia lenyewe. Badala ya kukifufua mmebaki kutetea mapenzi ya jinsia moja(Fatma Karume) mkidhani mnajiimarisha kumbe ndio mnajizika
Chama kimejifia, ila ili CCM iendelee kukaa madarakani lazima wizi wa kura kwa kushirikiana na tume ya uchaguzi na vyombo vya dola. Uza tu ubongo huo bro maana unakaa nao kwa hasara.



