Jakaya Kikwete: Nilifundishwa kuishi na viongozi wenzangu, upendo ndio kila kitu

Jakaya Kikwete: Nilifundishwa kuishi na viongozi wenzangu, upendo ndio kila kitu

LEO Desemba 05, 2021

NILIFUNDISHWA Kuishi na VIONGOZI Wenzangu, UPENDO Ndio KILA KITU"



LEO Desemba 05, Rais mstaafu wa awamu wa Nne, Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa serikali wameshiriki katika kumbukumbu ya kifo cha baba mzazi wa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Hayati Brigedia Moses Nnauye..
Mzee wa vijembe
 
Kumbe walikua wazito aisee
wakati huo shujaa mwendazake alikua anafanya kazi kiwanda cha nyanza Kama mkemia . wakati wenzie wanasota huko jeshini. Cha ajabu alipopewa madaraka akaanza kuvimba.
1. Kinana (kanali).
2. Kikwete(captain).
3. Yusuph makamba(captain).
3.moses nnauye baba nape (brigade general).
4. Magufuli (kuruta makutupola)😂😂😂😂😂😂😂
Halafu anatokea mshamba mmoja anakuja kujiita mzalendo na kubeza wenzie eti hawajafanya kitu chochote nchi hii.
 
Hilo ni genge la mafisadi na wahujumu uchumi.

Wazee wa madawa ya kulevya na meno ya tembo.

Twiga shipping Enterprise.
ongezea na hii .
Wao ndo wamiliki wa mayanga construction.
Wao ndo waliuza Nyumba za serikali .
Wao ndo walinunua ndege bila bajeti yake kupitishwa bungeni.
Wao ndo walijenga airport vijijini kwao .
Wao ndo walinunua kivuko kibovu pale kigamboni .
Wao ndo walikula trillion 1.5 .
Mafisadi Sana hawa watu.
😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Hata angekuwa bondeni kwa Mandela, angepata kashi kashi sana kwa hujuma aliyoifanyia nchi hii!! Enzi ya Magufuli HOME SHOPPING CENTRE [ GSM] uliwasikia? Huoni ajabu leo wameanza jeuri yao?
Enzi za Magu walitamba hata kuimiliki timu ya Wananchi,
 
nyerere hakuiba chochote, mwinyi na wendazake waliiba bt kikwete na mkapa waliiba na waliuza kabisa raslimali za taifa kwa maslahi yao binafsi.
hakuna alichoacha zaidi ya majuto na maumivi
 
Huyu Mzee hii nchi ngekuwa ni China, sijui kama leo angekuwepo
Ukijumlisha kashfa zote za ufisadi kuanzia kipindi cha Mkapa, Richmond, Kagoda, ununuzi wa Rada, Meremeta n.k
Hazifiki 1.5 Trilion zilizopotea kipindi cha Mwendazake, tena mwaka wake wa kwanza tu wa Bajeti. Bado mikopo mingi aliyokopa kuwazidi miaka 30 ya marais wa tatu yeye kwa miaka mitano tu, huku pesa hazijulikani zingine zilikoenda matumizi yake. zilitoka wapi pesa za kujenga uwanja wake wa ndege huko kijijiji. Bila kusahau CAG alikatwa kukagua madini, yani huko hakuna ukaguzi nini kinaingia na kutoka. t
 
Mwendazako ndio the worst wa wote he left no legacu zaidi ya majuto na maumivi isipokuwa kwa kundi lake maarufu kama sukuma gang, bila shaka utakuwa mmoja wa wanufaika hilo genge
mkuu wote ni wale wale, mwendazake alikua katili, roho mbaya na nk... bt jakaya anakuchekea ila anauza raslimali za nchi na kuwatetea mafisadi live
 
Ni kama panya wamerudi kutawala baada ya paka kuondoka

Kipindi cha chuma hayakuwepo hayo
Chuma alileta uhasama katka nchi na kamwe tusirudie kuongozwa na sheitwani Kama like. E mungu lionee huruma taifa letu tusirudie huko tulikotoka, visasi, mauaji, vinyongko, ukabila n.k ndo vilitawala
 
Back
Top Bottom