Jakaya Kikwete: Nilifundishwa kuishi na viongozi wenzangu, upendo ndio kila kitu

Jakaya Kikwete: Nilifundishwa kuishi na viongozi wenzangu, upendo ndio kila kitu

Hata angekuwa bondeni kwa Mandela, angepata kashi kashi sana kwa hujuma aliyoifanyia nchi hii!! Enzi ya Magufuli HOME SHOPPING CENTRE [ GSM] uliwasikia? Huoni ajabu leo wameanza jeuri yao?
Jeuri ipi jaman?
 
WAKUMBUSHANA NYIMBO ZA USHINDI VITA YA UGANDA

LEO Desemba 05,2021 wazee wa CCM walio wanajeshi akiwemo Rais mstaafu wa awamu wa Nne, Jakaya Kikwete (Lt. Colonel mstaafu) na viongozi Abdulrahman Kinana (Colonel mstaafu), Yusuf Makamba (Luteni mstaafu), Capt Ditopile Mzuzuri wengine wa serikali wameshiriki katika kumbukumbu ya kifo cha baba mzazi wa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Hayati Brigedia Moses Nnauye.. na kutoboa siri ya jinsi walivyoishi kwa ...


Wale wale ahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Hata angekuwa bondeni kwa Mandela, angepata kashi kashi sana kwa hujuma aliyoifanyia nchi hii!! Enzi ya Magufuli HOME SHOPPING CENTRE [ GSM] uliwasikia? Huoni ajabu leo wameanza jeuri yao?
Wewe kinachokusumbua ni mtima nyongo Bora tukose wote hiyo kitu haiwezekani endelelea na roho ya nguruwe pori utaona mwisho
 
Chuma alikuwa mwizi tu na ufisadi ulikwua mkubwa kuliko awamu zote, alichofanikiwa ni kutisha na kuua watu wasisema pamoja kuminya vyombo vya habari.

Sawa kabisa. Tofauti kubwa ni kuwa enzi za Mkapa na Kikwete wizi/ufisadi ulikuwa ukifanywa kijanja kwa kucheza na sheria, taratibu na mifumo ya taasisi za serikali/umma. Vyombo vya habari makini vilikuwa vikifuatilia na kuripoti dili zikishtukiwa.

Yeye jiwe aliona ni ujinga kuhangaika kutokana na madaraka yake makubwa. Si pesa za umma wala za wafanyabiashara binafsi alikuwa akizichota au kuhamisha matumizi kwa amri tu. Ilikuwa kazi kwa watumishi husika serikalini kubadili sheria na taratibu kuhalalisha ufisadi wa Rais na watu wake. Akampiga pini CAG na hata kulazimisha mashirika ya umma mfu kutoa dividend serikalini! Shughuli zote za umma zilikuwa top secret na taarifa kwa umma ni zile zinazotolewa au kuruhusiwa na Ikulu tu.
 
wakati huo shujaa mwendazake alikua anafanya kazi kiwanda cha nyanza Kama mkemia . wakati wenzie wanasota huko jeshini. Cha ajabu alipopewa madaraka akaanza kuvimba.
1. Kinana (kanali).
2. Kikwete(captain).
3. Yusuph makamba(captain).
3.moses nnauye baba nape (brigade general).
4. Magufuli (kuruta makutupola)😂😂😂😂😂😂😂
Halafu anatokea mshamba mmoja anakuja kujiita mzalendo na kubeza wenzie eti hawajafanya kitu chochote nchi hii.
Vipi bado unapambana na Hayati?
 
Watashindana lakini hawatashinda, kwa mlango moja watakuja kwa milango saba watatawanyika.... I send the spirit of confusion, misunderstanding and suspecions amongst the camp of evil in Jesus name...Njia yao na ikawe giza na utelezi na mipango yote miovu dhidi ya taifa hili, ikawe kamba za kujinyongea wale wote wanaopanga kuhujumu nchi yetu na watu wake wasio na hatia...I decree and declare in Jesus name, Amen!
AMEEN .....
 
ongezea na hii .
Wao ndo wamiliki wa mayanga construction.
Wao ndo waliuza Nyumba za serikali .
Wao ndo walinunua ndege bila bajeti yake kupitishwa bungeni.
Wao ndo walijenga airport vijijini kwao .
Wao ndo walinunua kivuko kibovu pale kigamboni .
Wao ndo walikula trillion 1.5 .
Mafisadi Sana hawa watu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ongezea na hii...

Wao ndo majizi ya ESCROW.

Wao ndo majizi ya RICHMOND.

Wao ndo majizi ya GAS YETU YA MTWARA waliyoikabidhi kwa wachina.

Wao ndo MAJIZI YA TWIGA WETU a.k.a Kinana and mabeberu Twiga Joint Venture.

Wao ndo MAJIZI YA TEMBO WETU.

Wao ndo WAUZA NGADA mashuhuri.... Riziwani Ngada Company Limited.

Nasikia pia mikataba ya madini ilikuwa inasaidiniwa chumbani na mama salma.

MWISHO: Tunataka meno yetu ya tembo na twiga wetu.
 
Mtandao unaanza kwa kasi kujijenga upya. Naona 2025 ni mwaka wa maamuzi kwa wanamtandao tena. Kikwazo kikubwa kwao ilikuwa ni Mwl. Nyerere, ila kwa mazingira ya sasa hakuna tena wa kuwazuia.
Dah
 

Jumatatu, 5 Desemba 2011​

Kumbukumbu ya Brig Gen Moses Nnauye​


Leo ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha Mzee Nnauye (5/7/1937-6/12/2001). Mzee Nnauye alikuwa mwanamuziki mzuri sana na alitumia sana muziki katika harakati za kupigania uhuru. Alianzisha na kuendeleza vikundi vingi vya kwaya, taarab na bendi na wasanii wengi sana waligunduliwa nae na kulelewa kama wanawe kutokana na kutaka waendelee katika muziki.
Mzee Nnauye wakati akiwa Mkuu wa Mkoa Singida

Kila nikisikia wimbo wa Guantanamela huwa namkumbuka Mzee huyu ambaye kwa mara ya kwanza nilikuwa karibu nae mwaka 1987, wakati niko katika bendi ya Tancut Almasi, wakati huo tukiwa tumepiga kambi ya miezi kadhaa Dodoma Hotel. Alitukaribisha wanamuziki kadhaa nyumbani kwake na kutuonyesha santuri(LP) ya wimbo original version ya Guantanamela. Kisha akamuita mwanae atupigie wimbo huo katika kinanda kuanzia hapo kila mara nilikuwa karibu na mzee huyu.

Mzee Nnauye ndiye aliyegundua kipaji cha Mheshimiwa Capt John Komba na kumtoa katika kazi yake ya ualimu na kumuingiza jeshini kuendeleza kipaji chake cha uimbaji, matokeo yake wote tunayajua. Wakati akiwa Singida aliweza kuwavuta wanamuziki kadhaa kutoka Black Star na Lucky Star za Tanga, na wanamuziki kadhaa akiwemo Wazir Ally wa Kilimanjaro Band walihamia huko na kuwa wanamuziki wa bendi King'ita Ngoma iliyokuweko Singida wakati huo. Wote tunajua umahiri wa Waziri Ally.

Katika mazungumzo yetu ya mara ya mwisho alikuwa anatamani sana kulileta lile kundi la Africando, mapigo ya Kilatino ya kundi hili yalimfurahisha sana na alikuwa anaona itakuwa bora kwa Watanzania kupata vionjo tofauti na vilivyozoeleka ambavyo vilikuwa ni kutoka kwa wanamuziki wa Soukus tu kutoka Jamhuri ya Congo.
Mungu amlaze pema Mzee Moses Nnauye
Amen


Bila jina16 Desemba 2011 00:25
RIP Comrade Moses Nnauye. Nilipokuwa nikifanya kazi Wizara ya Utamaduni 1986, nilikuwa mmoja wa watu sita tuliokwenda Dodoma kenye mashindano ya ngoma za kiasili/kijadi za Tanzania. Wakati huo Comrade Moses hakuweko Dodoma (alikuwa amesafiri). Hata hivyo aliwacha ujumbe kwa mkwewe kuwa Mrs Nnauye aje kutuchukua hoteli ili twende kwake kwa dinner. Baada ya mlo mzuri na soda na maji ya matunda, Mrs Nnauye alituomba radhi kwa niaba ya Moses Nnauye kwa kuwa Comrade Nnauye hakuweza kuwa na sisi kwa sababu ambazo hazikuweza kuzuilika (za kikazi). Brigadier Nnauye alikuwa ni mnadharia (theoritician) na mchambuzi (analyst) mzuri sana wa masuala ya siasa. Muhimu zaidi, alikuwa committed 100% kwa maendeleo ya Watanzania. Nilikutana naye kwa mara ya mwisho mwaka 2000 Arusha (Impala Hotel) alipokuwa safarini mikoani ili kuimarisha matawi ya CCM. Alikuwa anaonekana kuwa anaumwa au amechoka, lakini kwa watu commited kama yeye ugonja si sababu ya kupumzika (inanikumbusha Mwalimu Nyerere mwaka 1999 alipokuwa katika mazungumzo ya amani ya Burundi, Arusha aliposhinikizwa na madaktari wake akubali kwenda UK kwa matibabu na Comrade AbdulRahman M Babu ambaye alikuwa anaandika kuhusu masuala ya kisiasa na kijamii na biografia yake mpaka ikabidi naye ashinikizwe kwenda hospitali na kutangulia mbele ya haki).Tunamwomba Mwenyezi Mungu amweke mahali pema peponi. Amin.

SOMA ZAIDI WALIOMFAHAMU MZEE MOSES NNAUYE :

BOFYA HAPA CHINI

Jibu

Source : Kumbukumbu ya Brig Gen Moses Nnauye



Karume Tunakulilia

Wimbo na mistari aliyotunga brigedia Moses Nnauye ni pamoja na huu hapa kufuatia kifo cha Mzee Abeid Amani Karume, Rais wa kwanza wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Written and composed by the late Brigadier General Moses Nnauye Performed by THT Produced by Ringtone Beats & Munga Recorded at THT Studios Video by Adam Juma



Source : Moses Nnauye
 
wakati huo shujaa mwendazake alikua anafanya kazi kiwanda cha nyanza Kama mkemia . wakati wenzie wanasota huko jeshini. Cha ajabu alipopewa madaraka akaanza kuvimba.
1. Kinana (kanali).
2. Kikwete(captain).
3. Yusuph makamba(captain).
3.moses nnauye baba nape (brigade general).
4. Magufuli (kuruta makutupola)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu anatokea mshamba mmoja anakuja kujiita mzalendo na kubeza wenzie eti hawajafanya kitu chochote nchi hii.
Kweli aisee, mh Magufuli moja ya mambo alio chemka ni kubeza walio mtangulia hata kama walikua na mapungufu kiasi gani!
 
2021

Kipaza Sauti: BALOZI MST. WA TANZANIA NCHINI BURUNDI BRIG.GEN FRANCIS B. MNDOLWA AKIZUNGUMZIA MIAKA 60 YA UHURU


Brigedia Jenerali Francis B Mndolwa anasisitiza Tanzania hii Vyama vya upinzani tunavihitaji, hivyo vitumike ili kujenga umoja na amani.

Brigedia Jenerali huyo aliyeshiriki vita ya nchini Mozambique na Kagera / Uganda pia kutumika ktk operesheni maalum nchini Burundi kushawishi wapiganaji waliojificha mwituni akawafuata huko huko mafichoni watoke porini waende kushiriki mazungumzo mezani na kufanikiwa ...
Source : Star TV Habari
 
Back
Top Bottom