mbaghato chaka
JF-Expert Member
- Jun 6, 2021
- 521
- 664
Jeuri ipi jaman?Hata angekuwa bondeni kwa Mandela, angepata kashi kashi sana kwa hujuma aliyoifanyia nchi hii!! Enzi ya Magufuli HOME SHOPPING CENTRE [ GSM] uliwasikia? Huoni ajabu leo wameanza jeuri yao?
Chuma kilikutana na moto ndyo maana kikayeyukaNi kama panya wamerudi kutawala baada ya paka kuondoka
Kipindi cha chuma hayakuwepo hayo
Wale wale ahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhWAKUMBUSHANA NYIMBO ZA USHINDI VITA YA UGANDA
LEO Desemba 05,2021 wazee wa CCM walio wanajeshi akiwemo Rais mstaafu wa awamu wa Nne, Jakaya Kikwete (Lt. Colonel mstaafu) na viongozi Abdulrahman Kinana (Colonel mstaafu), Yusuf Makamba (Luteni mstaafu), Capt Ditopile Mzuzuri wengine wa serikali wameshiriki katika kumbukumbu ya kifo cha baba mzazi wa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Hayati Brigedia Moses Nnauye.. na kutoboa siri ya jinsi walivyoishi kwa ...
Wewe kinachokusumbua ni mtima nyongo Bora tukose wote hiyo kitu haiwezekani endelelea na roho ya nguruwe pori utaona mwishoHata angekuwa bondeni kwa Mandela, angepata kashi kashi sana kwa hujuma aliyoifanyia nchi hii!! Enzi ya Magufuli HOME SHOPPING CENTRE [ GSM] uliwasikia? Huoni ajabu leo wameanza jeuri yao?
Katiba kubadilika sio leokatiba ikibadilika kinga zinaweza kuodolewa.
MaCCM yote ni minafiki mno, hili jitu hili nafikii namba moja. Silipendi kabisa kabisa
Madini yetu pia yaliuzwa na mwendazake yuleeeeeeJamani Gesi yetu ya Mtwara imeuzwa na mzee yuleeee
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Chuma alikuwa mwizi tu na ufisadi ulikwua mkubwa kuliko awamu zote, alichofanikiwa ni kutisha na kuua watu wasisema pamoja kuminya vyombo vya habari.
Vipi bado unapambana na Hayati?wakati huo shujaa mwendazake alikua anafanya kazi kiwanda cha nyanza Kama mkemia . wakati wenzie wanasota huko jeshini. Cha ajabu alipopewa madaraka akaanza kuvimba.
1. Kinana (kanali).
2. Kikwete(captain).
3. Yusuph makamba(captain).
3.moses nnauye baba nape (brigade general).
4. Magufuli (kuruta makutupola)😂😂😂😂😂😂😂
Halafu anatokea mshamba mmoja anakuja kujiita mzalendo na kubeza wenzie eti hawajafanya kitu chochote nchi hii.
Akili zake hazina akili huyo bi, dada, asikuchoshe.
Ukweli mchungu ehee,,umepewa mashujaa hao, sio HAYAWANI maiti pumbavu.Vipi bado unapambana na Hayati?
EEEH!!!Ukweli mchungu ehee,,umepewa mashujaa hao, sio HAYAWANI maiti pumbavu.
AMEEN .....Watashindana lakini hawatashinda, kwa mlango moja watakuja kwa milango saba watatawanyika.... I send the spirit of confusion, misunderstanding and suspecions amongst the camp of evil in Jesus name...Njia yao na ikawe giza na utelezi na mipango yote miovu dhidi ya taifa hili, ikawe kamba za kujinyongea wale wote wanaopanga kuhujumu nchi yetu na watu wake wasio na hatia...I decree and declare in Jesus name, Amen!
Ongezea na hii...ongezea na hii .
Wao ndo wamiliki wa mayanga construction.
Wao ndo waliuza Nyumba za serikali .
Wao ndo walinunua ndege bila bajeti yake kupitishwa bungeni.
Wao ndo walijenga airport vijijini kwao .
Wao ndo walinunua kivuko kibovu pale kigamboni .
Wao ndo walikula trillion 1.5 .
Mafisadi Sana hawa watu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
DahMtandao unaanza kwa kasi kujijenga upya. Naona 2025 ni mwaka wa maamuzi kwa wanamtandao tena. Kikwazo kikubwa kwao ilikuwa ni Mwl. Nyerere, ila kwa mazingira ya sasa hakuna tena wa kuwazuia.
Kweli aisee, mh Magufuli moja ya mambo alio chemka ni kubeza walio mtangulia hata kama walikua na mapungufu kiasi gani!wakati huo shujaa mwendazake alikua anafanya kazi kiwanda cha nyanza Kama mkemia . wakati wenzie wanasota huko jeshini. Cha ajabu alipopewa madaraka akaanza kuvimba.
1. Kinana (kanali).
2. Kikwete(captain).
3. Yusuph makamba(captain).
3.moses nnauye baba nape (brigade general).
4. Magufuli (kuruta makutupola)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu anatokea mshamba mmoja anakuja kujiita mzalendo na kubeza wenzie eti hawajafanya kitu chochote nchi hii.