sangaone98
Senior Member
- Apr 16, 2024
- 160
- 288
Sio swala la kuamini,hatuko huko kwenye makanisa yenu ni suala la kuona ππDuh siasa ya tanzania ni ngumu sana
Hivi mtu unaamini kitu alicho ongea mtu et kisa ni kiongozi wa chama fulani lakini kiundani we mwenyewe unaona hamna jipya wala la maana lililo fanywa.
Ukwel tanzania ni watu wachache sana wanafuatilia siasa coz siasa ya nchii hii haileti maana hata kwenye mambo madogo
Binafsi naelewa Tz ni nchi ambayo watu wake wanapenda maendeleo lkn sio wafuatiliaji wa siasa ndio maana wanafuata mkumbo kila wakati.
Pia hizi timu za mitandaon ndio zina onyesha wazi kwamba Tz inawatu wa ovyo kuwai tokea.
Mlaumu jiwe. Yalee ni maelekezo ndugai alikuwa speaker kama musibaNdunga kauli zake ni za hovyo sana. Huyo jamaa aliwahi kutaka kubadilisha katiba ili Jiwe atawale milele so usimchukulie seriously sana.
Mlaumu jiwe. Yalee ni maelekezo ndugai alikuwa speaker kama musiba
Usiku kama mchanaNdunga kauli zake ni za hovyo sana. Huyo jamaa aliwahi kutaka kubadilisha katiba ili Jiwe atawale milele so usimchukulie seriously sana.
Ndio baada ya kuwagawia Waarabu nyie mkapata maendeleo yafuatayo ππMaendeleo ya kugawa mali ya taifa kwa Waarabu.
Maendeleo kwao ni kuendelea kuila nchi wao na vizazi vyaoMy Take
Linapokuja Suala la delivery,Samia ni next level,tunae Rais anaeleta matokeo.JK Yuko sahihi
Pia soma Pre GE2025 - Rais Samia na Miaka 4 ya Uongozi wenye Neema, Watanzania Waogelea Kwenye Mafanikio huku Akijenga Dira ya Tanzania Mpya
View attachment 3299518View attachment 3299519
Kuna hoja hapa au viroja toka kwa chawaJadili hoja acha huu ujinga
Hoja ipo na ni hoja ya Maendeleo anayofanya Samia ambayo no haya hapa π πKuna hoja hapa au viroja toka kwa chawa
Uko sahihi na wanaendeleq kuila kama hivi π πMaendeleo kwao ni kuendelea kuila nchi wao na vizazi vyao
UTUKUFU WA MWISHO UTAKUWA MKUBWA KULIKO WA KWANZA HALIKADHALIKA UHARIBUFU WA MWISHO UTAKUWA MKUBWA KULIKO WA KWANZA, ataendelea kuuza mali zetu, kauza bandari yetu, Ngorongoro kuna eneo kapewa mwarabu, viwanja vya ndege vitakuwa vya waraabu, ngoja tuone Mungu ndiye muamuzi wa yoteeeMy Take
Linapokuja Suala la delivery,Samia ni next level,tunae Rais anaeleta matokeo.JK Yuko sahihi
Pia soma Pre GE2025 - Rais Samia na Miaka 4 ya Uongozi wenye Neema, Watanzania Waogelea Kwenye Mafanikio huku Akijenga Dira ya Tanzania Mpya
View attachment 3299518View attachment 3299519
Kwanza hawajiamini, kama wanaona wako sahihi na wanapendwa na watu kwa nn waendelee kumshikiria Lissu? Hawajiamini na utendaji kazi wao wananchi sasa hv tumeamka hatutaki ujingaMy Take