ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
-
- #241
Hvii huyu kilaza Kikwete hawezi kamatwa na kunyamazishwa, mtu alishindwa kuiendeleza nchi yake eti leo hii ndiyo kinara wa uongozi?
Why usikamatwe wewe uaepinga maendeleo akamatwe Jak?Hvii huyu kilaza Kikwete hawezi kamatwa na kunyamazishwa, mtu alishindwa kuiendeleza nchi yake eti leo hii ndiyo kinara wa uongozi?
Sijui ndio maana nakuuliza.Kumbe unajuwa?
Haya ni mauji na utekaji? 👇👇Labda utekaji na mauaji zaidi anamaanisha huyu mzee
Wewe ni kenge kama huoni maendeleo 👇👇Jk umetuona sisi kenge
Wewe utakuwa kenge jike kama huoni maendeleo na pengine mchawi 👇👇Jk umetuona sisi kenge
Ni lini ama wapi nilikuambia napinga maendeleo?Why usikamatwe wewe uaepinga maendeleo akamatwe Jak?
View: https://www.instagram.com/p/DKZox5Ytxdw/?img_index=1&igsh=dTdzenp4YXdkNzhm
Hivyo vituo vina madawa, na je hao waganga waliopo hapo ni waganga kweli au vishoka tu wa Kizimkazi?Sijui ndio maana nakuuliza.
Vituo vya Afya zaidi ya 600 ndani ya miaka 4 tuu hakuna ambae amewahi fanya kabla ya Samia 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DKZgiHAMgPk/?igsh=MTVoZTY4NDBvN3I2bQ==
Kabla ya kuuliza kama vina madawa lazima ujue kwamba Huduma za Afya hazitolewi chini ya mti, miundombinu kwanza.Hivyo vituo vina madawa, na je hao waganga waliopo hapo ni waganga kweli au vishoka tu wa Kizimkazi?
Anazinguaje bwashee? Haya sio maendeleo? Tena miradi inajengwa na wakandarasi wa ndani baada ya mama kuinuia ceiling kutoka 10b to 50b exclusively for Native contractors.Mzee unazingua sasa
Kwa nini?JK mnafiki sana
NdioKwani alishawahi kuchaguliwa mpaka achaguliwe tena?
Lini na alichaguliwa na nani?Ndio
2020,na wewe pia ulimcjagua.Lini na alichaguliwa na nani?