PreGE2025 Jakaya Kikwete: Rais Samia akichaguliwa tena Taifa litazidi kupata maendeleo makubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwenye "D" angalau moja tena ya Nursery lakini English Medium,, keshajua "CODE" zilizotumika:
  • "Taifa" - Itakuwa ushajua hili Taifa liko wapi au ni akina nani
  • "Maendeleo" - Itakuwa ushajua hayo maendeleo ni yapi..
  • Na itakuwa unajua kwanini Mzee kasema hivyo
 
Hapo karusha jiwe. Mzee kamaliza ndiyo maana yuko kimya asije kuambiwa anawashwa.

Watanzania mtafakari kuendelea na ngomjera au mfanye mabadiliko.
Ngonjera gani na Mabadiliko yapi na ya nini?
 
My mind revolted long ago — true intellect stays silent, waiting.
When the moment comes, it moves; if it doesn’t, the blind will die in place.
If these banners were enough, Corporate Mouthpieces wouldn’t be wearing uniforms.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…