ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
-
- #61
Mtwara mna Nchi yenu?Kikwete;
Ile gas yetu ya Mtwara bado tunakudai kwa namna mikataba ile ya ajabu ilivyoharibu ustaw wetu.
Zile fedha za Escraw ulizoruhusu 'kugawana' bado zinatuuma mno mno!
Kwani kikwete anaongelea maendeleo yake au yangu!?Vyote hivyo vimezuia maendeleo Yako au unapata njaa Kwa sababu Nchi Ina deni?
Kama ni ya Nchi yapo ya kutosha na ndio maana ametoa wito kuchaguliwa tena Kwa Samia Ili Nchi izidi kupata maendeleo.Kwani kikwete anaongelea maendeleo yake au yangu!?
Mimi sio fisadi kama hao maboss wako!! Nyie mnaambulia makombo tu!Hapo cha ajabu ni kipi? Na wewe tafuta mtu wako wa kukusaidia Kupitisha michongo, vinginevyo utazeeshwa na chuki haraka sana.
Kikwete bahati yake alivuruga rasimu ya Katiba ya Warioba. Ile Katiba ingepitishwa na ule Ufisadi alioufanya na Home Shopping Centre ( state capture) ; ni lazima angeshitakiwa kama alivyoshtakiwa Jacob Zuma kule South Africa. Ule ulikuwa wizi wa kutisha!Kikwete;
Ile gas yetu ya Mtwara bado tunakudai kwa namna mikataba ile ya ajabu ilivyoharibu ustaw wetu.
Zile fedha za Escraw ulizoruhusu 'kugawana' bado zinatuuma mno mno!
Umeongea ukweli sana! Ila nani atakuelewa? Nchi hii ina wapuuzi wengi sana! Uliemtaja ndio adui mkubwa wa watz, anacheka TU ila ni hovyo sana!Kikwete kasharudisha vyote alivyopokwa na magu na Faidaa juu.saivi anakula kwa mrijaa. Tena mitanzania tulivyo manyumbu tutaibiwa wajukuu zetu sijui tutakuwa tumewaachia urithi gani.
Kikwete aliuza raslimali kwa wachina(gas mtwara)
Huyuu mama ni mwendo wa kuuza kwa waarabu.
DENI linapaa.
Ufisadi ndo usiseme kila mtu anajilia urefu wa kamba.
NDUGAI ALISEMA NCHI ITAPIGWA MNADA.
Wenye hela Wana stress na wewe mwenye njaa nini kinakutoa povu?Mimi sio fisadi kama hao maboss wako!! Nyie mnaambulia makombo tu!
Mimi Sina stress za hao wezi,Ndio maana wanazeeka haraka; umemuona mkwere alivyosinyaa siku hizi? Bibi Kizimkazi nae siku hizi anatembea kama kobe !
I have no problem na kuwajengea mabinti hiyo miundombinu, tatizo liko kwenye kiasi cha fedha zilizotumika na quality ya hayo majengo!!Wenye hela Wana stress na wewe mwenye njaa nini kinakutoa povu?
Jadili maendeleo ya Samia kama haya
View: https://x.com/JafferMahmud/status/1911759813303808451?t=oYlHLqkZhmx7_BX5YWZpWg&s=19
Rais yupi mwingine Aliwahi wakomboa mabinti?
Upigaji gani?I have no problem na kuwajengea mabinti hiyo miundombinu, tatizo liko kwenye kiasi cha fedha zilizotumika na quality ya hayo majengo!!
Majengo ubora wake haulingani na hizo shillingi Bill. 106 .6 zilizolipwa
Kuna upigaji mkubwa sana kwenye miradi ya Samia.
Wizi mnaofanya na mama Abdul huko Ikulu!! Mfano wewe umeajiliwa Juzi Juzi tu umeisha jengo hekalu ; kwa mshahara gani unaolipwa kama sio wizi?Upigaji gani?
Wizi gani? Wewe punguani au?Wizi mnaofanya na mama Abdul huko Ikulu!! Mfano wewe umeajiliwa Juzi Juzi tu umeisha jengo hekalu ; kwa mshahara gani unaolipwa kama sio wizi?
Mnaiba Huku hamjui kuwa mnawaibia wananchi! Arobaini yenu iko mlangoni!Wizi gani? Wewe punguani au?
Kweli kabisa
Huyu anamaanisha kinyume chake!My Take
Linapokuja Suala la delivery,Samia ni next level,tunae Rais anaeleta matokeo.JK Yuko sahihi
Pia soma Pre GE2025 - Rais Samia na Miaka 4 ya Uongozi wenye Neema, Watanzania Waogelea Kwenye Mafanikio huku Akijenga Dira ya Tanzania Mpya
View attachment 3299518View attachment 3299519
Familia ake nzima ipo kwenye system inaiba usiku na mchana, yeye aliingia mikataba ya kijinga na kitapeli imerudishwa yote hivyo anaiba anavyotaka bila kusumbuliwa.Kikwete kasharudisha vyote alivyopokwa na magu na Faidaa juu.saivi anakula kwa mrijaa. Tena mitanzania tulivyo manyumbu tutaibiwa wajukuu zetu sijui tutakuwa tumewaachia urithi gani.
Kikwete aliuza raslimali kwa wachina(gas mtwara)
Huyuu mama ni mwendo wa kuuza kwa waarabu.
DENI linapaa.
Ufisadi ndo usiseme kila mtu anajilia urefu wa kamba.
NDUGAI ALISEMA NCHI ITAPIGWA MNADA.