Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Huyu ni dalali mkuu wa mali za ummaUmeifanyia mengi nchi hii
Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa
Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia
Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia
Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika
Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
Nimeuliza swali jepesi kuwa alimfira mwanao ? hiyo scandal ya kutengeneza unataka kutuaminisha na kulazimisha iwe ukweli ? Behind the scene kila mtu anaamini lilikuwa tukio la kupanga..Eti. "Tanzania nzima" inafahamu upumbavu wa Kikwete!! Wewe hizo takwimu za Waranzania wanaochukia Kikwete ulitumia chombo gani kufanya utafiti, nikwambie kitu?? Usituletee chuki zako binafsi kumuhusu Kikwete ukafikiri watu na akili zao timamu watakaa chini na kisikiliza chuki chuki zako zosizo za msingi kumuhusu Kikwete.
Kumbuka yeye ndiye aliruhusu hata uhuru wa vyombo vya habari nchini, bila yeye hata hii Jamiiforums hisingekuwepo likumbuke sana hilo.
Kitu kingine, jitahidi sana kutumia lugha yenye staha, mimi nimesema Babu SEYA mambo ya adhalilishaji aliyo kuwa anawafanyia wanafunzi ni mabaya sana, wewe unanijibu kwa lugha ya vijiweni/mitaani na cha ajabu zaidi unaonyesha huna hata uchungu wa kweli kuhusu wanafunzi wa Watanzania wen
Kwamba mtu ukifa utajisikia aibu maiti inasikia aibuUmeifanyia mengi nchi hii
Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa
Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia
Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia
Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika
Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
Unaishi Dunia ipiJidanganye wapinzani wanamtambua kama baba wa demokrasia sijui wewe ni ntarahanwe,?
Kumbuka ana familiaKwamba mtu ukifa utajisikia aibu maiti inasikia aibu
Tunataka Mkali na Mpole at once. Flexibility!🤣Kikwete aliwapa wapinzani uhuru kiasi cha kufikia hatua ya kuambiwa ni raisi dhaifu wakamfananisha na mwanamke.
Magu aliwabana wapinzani wakampachika majina kama vile dikteta uchwara, jiwe, mshamba na kadhalika.
Watanzania labda ashuke Mungu mwenyewe aongoze nchi vinginevyo hatujui ni nini tunakitaka
We kenge unajua maana ya siasa kwl? Kikwete anashiriki siasa anagombea nafasi ipiUmeifanyia mengi nchi hii
Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa
Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia
Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia
Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika
Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
Mkuu mbona una hasira hivyo?Halafu pia mnaamini kwenye siasa hakuna Mungu ?! 😳😱 !
Ngoja Tusubiri tuone 🙏 😁 !
Naomba uniambie agizo lake yeye akitoa amriUnaishi Dunia ipi
Mabaya yote ya SSH inaonekana Yana mkono wa JK
Akae nae mbali,watu wanaona kama anawatawala kwa awamu nuingine bila ridhaa yao
Lakini mkuu katiba inaruhusu. Ana haki ya kikatiba kugombea. She's Just practicing her constitution right and political will.Hayo mazuri aliyofanya ni yepi ....unajua kuwa mama salma alikuwa first lady miaka 10 anagombea ubunge ungwe ya pili
Hakuna cha karma wala nini. Mzee wa watu atagonga hadi mia. Na atamuona kijana wake akiwa rais mihula miwili.Mwambie Karma is bitch
what goes around comes around.
Wala hajioni ni nyie ndio mnamuona hivyo. Acheni kuzusha mambo NYIE.Jk anajiona kama ndo mwenye mamlaka ya nchi
Mwendo ataumaliza vizuri tu ndo maana licha ya yeye kuwa miaka 75 lakini ana nuru usoni ukilinganisha na wewe Una mid "thetees" umekangamaa kama ngumi ya ajuza.Mwendo anaenda kummaliza vibaya sana!!
Hata akiacha wakulingwa watasherehekea tuUmeifanyia mengi nchi hii
Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa
Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia
Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia
Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika
Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
Huna akili. Jua hivyo chawa promaxMwendo ataumaliza vizuri tu ndo maana licha ya yeye kuwa miaka 75 lakini ana nuru usoni ukilinganisha na wewe Una mid "thetees" umekangamaa kama ngumi ya ajuza.
Wala mimi siyo chawa. Na wala JK na familia yake hawanijuiHuna akili. Jua hivyo chawa promax
umesahau alisema anakwenda pia kulima mananasiCV yake imeshuka angetulia Msoga awape Kuku chakula