Jakaya Kikwete ungeachana tu na mambo ya siasa. Haitapendeza siku ukitutoka watu wafanye sherehe

I’m afraid it’s too late
 
Jk ndo anayeongoza kufaidi mema ya nchi hii, mke wake mbunge, mtoto wake mbunge.Anakula mikodi ya nchi hii mpaka mwisho wa uhai wake..
 

Wapinzani alikuwa anawagawia gawio ili kuwe na utulivu.
 
Watz bhana kwa kuwa emotional..

Kwa hiyo unadhani watu ambao wapo radhi mali za nchi zipigwe mnada au wachote mabilioni huku watu wakifariki hospitalini kwa kukosa dawa. Ndio watajali nyie mkishangilia vifo vyao kuliko wao kutengeneza dynasties na kuhakikisha hata wajukuu zao wataogelea kwenye mabilioni "generational wealth"...

Mnadhani watu wanajali sana nyie kuwapenda tofauti na kipindi cha kampeni. Amkeni ndotoni wakuu, watu mioyo ishakufa ganzi mbele ya maslahi
 
Sasa unashauri wananchi wafanyeje mkuu ?
 
Ningekua jakaya ningejisafisha kwa kuwapa watanzania zawadi ya kiongozi wamtakaye...fikiria kwa sasa yeye ndio mwenye uwezo wa kufanya hivyo lakini anaharibu huku akijua watanzania mpaka wa vijijini wanajua michezo yake
 
Sasa unashauri wananchi wafanyeje mkuu ?
Kiuhalisia watanzania wengi wanaishi hand to mouth na hata akili ya kufikiria athari za maamuzi ya wanasiasa kwa vizazi vyao hawajui. Wanachojali ni kujaza tumbo kwa ugali na maharage kwenye amani ila wakipata hitilafu kidogo, laki tano ya hospitali inawaua na bado hawaoni haja ya kudai better health care kuliko kuwaka hasira pale simba ama yanga ikigoma kuingia uwanjani

Kwa hiyo mimi naona watawala wajiachie na kutuminya zaidi. Pengine akili zitakuja ila wakitoa comfort kiasi, watanzania huwa wanasahau. So watawala wakaze kamba
 
Duh hatari sana mkuu .
 
Lazima tusherehekee mdau
 
Atakayesheherekea atakiona cha mtema kuni,walio hai watamlipia kisasi. Mambo ya mfumo hayo!
 
Sio kwamba alilifanya bunge liwe huru ili mamvi ajitumbue?
 
Miaka 75 yote hiyo badala ya kupumzika yeye bado anahangaika na sasa🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…