Jakaya Kikwete ungeachana tu na mambo ya siasa. Haitapendeza siku ukitutoka watu wafanye sherehe

Basi, Roho ya BWANA ilikuwa imemwacha Sauli, na roho mbaya kutoka kwa BWANA ikamsumbua....
 
waliomfata wakaja na formula kuondoa upinzania bungeni eti unachelewesha maendeleo matokeo yake hakuna utulivu na maendelwo pia hakuna

Kuzuia upinzani haikuwa sahihi. Na kuwahonga wapinzani haikuwa sahihi pia. Maendeleo tuliona kiasi kipindi cha Magu. Karudi Kikwete kwa mlango wa nyuma ni ufisadi tu kwa sasa.
 
WWatu gani wanamchukia zaid ya wanachadema.
Na mlikua mna mchukia tokea mwanzo
Kaeni na chuki zenu maaana hazijazid watu wanaompenda
 
Huu upuuzi wote unafanywa na kundi la JK ni matokeo ya utawala wa kipuuzi wa kundi la sukuma gang chini ya Magufuli. Kundi hili linaogopa kukaa mbali na maamuzi ya kisiasa lisije kufanyaziwa tena. Wanajua fika sukuma gang wakipata madaraka watawafanyizia. Magufuli na genge lake walipandikiza siasa chafu sana, kiasi kwamba wengine wanalamika kubaki kwenye siasa kwa usalama wao.
 
Mungu Anisamehe Kwa hili
ila JK na huyo mama
siku hiyo hata mimi nitachinja mnyama
nile yaani kifupi nitafanya party
kiukweli
Nawaombea waumalize mwendo
Sio wao tu
bali na familia zao ZOTE hata muda huu!
Mungu alivyo fundi unaweza kutangulia wewe na watu tusijue humu.
 
Kati ya vitu Mzee wa Msoga hawezi kuacha/kusikia/kuelewa, basi ni hiyo ishu ya kuachana na mambo ya siasa na pia kusafiri kwenda Ulaya na Marekani.
😂😂😂 Kwenda ulaya / Marekani was necessary!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…