Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
- Thread starter
- #21
Katusaliti, hakuna wa kumgusa kikwete nchini, hakuna.Hakuna kitu wanaweza kumfanyia mzee wa msoga yeye ndo kawaweka hapo walipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katusaliti, hakuna wa kumgusa kikwete nchini, hakuna.Hakuna kitu wanaweza kumfanyia mzee wa msoga yeye ndo kawaweka hapo walipo
Nasikia watu wengine wanasema yeye ndiye jambazi kuu aliyebakia ! 😄😄😄😄Jakaya naye ni mtu basi?
Hakuna kitu wanaweza kumfanyia mzee wa msoga yeye ndo kawaweka mkuu unadhani ukimya wake na yeye kabaliki huu uchafu unaofanywa na chama chake?
vijana wa leo hata nyie mnaosema atoe ushauri msikute hata mkikutana na wazee wenu nyumbani hamkubali wawashauri. mzee wa watu atakushauri ukiondoka utajisemea mwenyewe. kua mzee nae uzee unampeleka vibaya.Atoe Ushauri
Acha upumbavu ,muasisi na muanzilishi wa siasa za chuki, kupita bila kupigwa ,kutekana ndani ya nchi hii ni jiwe hawa wengine ni waendelezaji.Yeye si ndio mtunzi wa huu upuuzi wote, muasisi wa kila uchafu wa kisiasa.
Na bado aliruhusu uchaguz huru chadema mkapata wabunge wengi na madiwani. Mwacheni apumzike JK tutamkumbikaAkina mnyika walimuita rais dhaifu, anachekacheka na kudeka....... Akaja ngosha na dada yake wanauoeleka moto tena mnalialia......
Suluhisho ni kususia uchaguzi tu kwa muda ili msipata mikong'oto, vilema na kurestishwa .
Chadema acheni ukabira!
2025 act wazakendo itapata majimbo kwenye kumi na viti maalum pia kibao.
Unataka Mkuu Jakaya akuandamanie? labda atoke yeye na Salama Kikwete waandamane kuounga uchaguzi? Tusipo acha huu ujinga tutaumia sanaMimi ni Mtanzania ila nimeumizwa sana na hiki kilichofanyika Serikali za Mitaa.
Inawezekana vipi ukatumia mabilioni ya pesa kwenye taifa masikini ili tu ufanye uchaguzi wa kiini macho?
Kwanini hizo pesa usiwekeze kwa hili tatizo la ajira, elimu na afya? Sisi ni wazima kweli kiakili?
Jakaya Kikwete umebaki kama mshauri mkuu wa masuala yote ya kijamii, haya mambo yanalifanya hili taifa lijitengenezee uhasama.
Watu hawapendwi ila hawasemi. Kuanzia hao wasimamizi na maafisa uchaguzi hawafurahii haya mambo.
Kumbukeni tulimtoa mkoloni ili tujitawale na eneo pekee la kubadirishana uongozi ni kura na siyo pengine.
Ni lini uliwahi kujitawala? Huyo Kikwete na yeye si ni walewale tu. Kimsingi Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umeboa sana.Mimi ni Mtanzania ila nimeumizwa sana na hiki kilichofanyika Serikali za Mitaa.
Inawezekana vipi ukatumia mabilioni ya pesa kwenye taifa masikini ili tu ufanye uchaguzi wa kiini macho?
Kwanini hizo pesa usiwekeze kwa hili tatizo la ajira, elimu na afya? Sisi ni wazima kweli kiakili?
Jakaya Kikwete umebaki kama mshauri mkuu wa masuala yote ya kijamii, haya mambo yanalifanya hili taifa lijitengenezee uhasama.
Watu hawapendwi ila hawasemi. Kuanzia hao wasimamizi na maafisa uchaguzi hawafurahii haya mambo.
Kumbukeni tulimtoa mkoloni ili tujitawale na eneo pekee la kubadirishana uongozi ni kura na siyo pengine.
mpumbavu baba yako alieacha kuvaa mpira siku aliyokutana na mama yako kimwili kupelekea kuzaliwa nguchiro moja kama wewe inayojifanya ina uchungu sana na Kikwete kiasi cha kutukana watu usiowajua.Acha upumbavu ,muasisi na muanzilishi wa siasa za chuki, kupita bila kupigwa ,kutekana ndani ya nchi hii ni jiwe hawa wengine ni waendelezaji.
Una mdomo mchafu kama unakulaga mavi.mpumbavu baba yako alieacha kuvaa mpira siku aliyokutana na mama yako kimwili kupelekea kuzaliwa nguchiro moja kama wewe inayojifanya ina uchungu sana na Kikwete kiasi cha kutukana watu usiowajua.
wacha Mzee apumzike gentleman 🐒Mimi ni Mtanzania ila nimeumizwa sana na hiki kilichofanyika Serikali za Mitaa.
Inawezekana vipi ukatumia mabilioni ya pesa kwenye taifa masikini ili tu ufanye uchaguzi wa kiini macho?
Kwanini hizo pesa usiwekeze kwa hili tatizo la ajira, elimu na afya? Sisi ni wazima kweli kiakili?
Jakaya Kikwete umebaki kama mshauri mkuu wa masuala yote ya kijamii, haya mambo yanalifanya hili taifa lijitengenezee uhasama.
Watu hawapendwi ila hawasemi. Kuanzia hao wasimamizi na maafisa uchaguzi hawafurahii haya mambo.
Kumbukeni tulimtoa mkoloni ili tujitawale na eneo pekee la kubadirishana uongozi ni kura na siyo pengine.
Umeongea Kwa Uchungu sana yanayo kusibu and the like!Mimi ni Mtanzania ila nimeumizwa sana na hiki kilichofanyika Serikali za Mitaa.