Jakaya Kikwete: Usirithi adui ya mtu... Tengeneza Adui yako Mwenyewe, lakini...

Mkubwa akipata jukwaa husema makubwa hasemi madogo. ujumbe unalenga taifa na si huyo makamu pekee. ayasemayo huweza kupata tafsiri nyingi lakini mwenye kujua zaidi ni msemaji.
 
Mkuu mda uliotumia kujibu hili kwann usingejielekeza kuja na hoja kuthibitisha jk kuwa ni professor?
Nilitaka kwanza kuthibisha uraia wako maana inaonekana hukuwepo akitunukiwa. Japo siuungi mkono lakini alipewa
 
Umendika upuuzi mtupu unaochochewa na hasira na chuki kwa serikali ya Magufuli.
 
Wewe ndo una haraka ya kumjibu kama umetumwa kufanya
damage control...

Kikwete anajua ujumbe wake hasa unamlenga nani...
watu wa pwani wanaweza kumtukana mtu kwa kumsifia
Hapo nimekuelewa vizuri sana. Pengine hata Mzee Ruksa aliposema bwana yule apewe hata miaka 40 alikuwa anamtukana! Pwani ni hatari!
Maana ilikuwa ni siku chache zimepita toka atangaze kuwa tunaenda kama Gari bovu.
Sasa sisi tusiojua kiswahili wote tukamshambulia Ruksa!
 
Mkuu hiyo nimeiona hahahahahaha. Jk ni Dr. Uprofesa hutunukiwi. Na alipewa udokta wa heshima. Hakuna uprofesa wa heshima.

Alaa wafaransa wanaita mwalimu, Yaani ukifundisha tu unao.
 
Geinye mbaya mkuu, unawekea watu maneno vinywani! Angalia hilo nalo ni dhambi ukipenda
 
Wewe ndo una haraka ya kumjibu kama umetumwa kufanya
damage control...

Kikwete anajua ujumbe wake hasa unamlenga nani...
watu wa pwani wanaweza kumtukana mtu kwa kumsifia
Kama Mzee Mwinyi alivyomtukana bwana yule kuwa miaka kumi ikiisha aongezewe mingine.
 
Leo mnapenda na kumuona na busara kibao ....mliyekuwa mnamwita kilaza sasa kawa lulu ....ngoja na JPM astaafu ...
 
hapa ndipo mmefikia mwisho wa kufikiri. Mnaokoteza vijimambo vya mtaani na kuvileta hapa kama hoja.
[HASHTAG]#mazishi[/HASHTAG] ya mbwa wa joshua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…