4293
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 218
- 353
Huyo muhuni muuaji kawaua kina nani? Na ushahidi tafadhalYule mhuni muuaji alidhamiria kweli kubadilisha katiba, japokuwa alikua anazuga eti hataki
Ndio maana akasema wastaafu wanawashwawashwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo muhuni muuaji kawaua kina nani? Na ushahidi tafadhalYule mhuni muuaji alidhamiria kweli kubadilisha katiba, japokuwa alikua anazuga eti hataki
Ndio maana akasema wastaafu wanawashwawashwa
☹️Nyuma ya comment yako naona maandishi hafifu 'aliwahishwa'
Akiona hakuna mwingine anayeweza iendeleza tz,eti 'eti mnadhani bila Mimi nani atajenga mabarabara,mahispitali'!?..hapo ana betri moyoni alilowekwa hospitali hapahapa tzYule mzee wa Chato alikuwa na afya mgogoro lakini alikuwa na tamaa sana ya kuwa rais wa milele
Aliua wangapi?Kama alitaka kubadili katiba kwa nguvu ilikuwa ni haki yake kuuawa, after all kwani hata yeye aliua wangapi?
Butyama alikua mgonjwa kitambo na ilijulikana,hapakua tu na mitandao ya kijamii enzi hizoEeh ni kweli kabisa kifo cha Lupaso kiliinginiwa na Chato kama vile kifo cha Butiama kilivyokandalasiwa Lupaso
Like or not JK is a mostly honorable states person internationally he well know how to play the game!.Kuna watu wanatafuta heshima ya kwa nguvu ingawaje nobody respects them, Heshima hailazimishwi, u-statesman unakuja tu, watu wanakuona wewe ni State man na wanakuheshimu hahuhitaji kulazimisha, pure evil!
Magufuli alikuwa anataka atawale mileleHivi kumbe ilikuwa kweli wanataka kuongeza muda
Like or not JK is a mostly honorable person he well how to play the game!.
#TUACHE_CHUKI_BINAFSI.
Inawezekana huo mkakati wa kubadili katiba ndio uliomuondoaAngefanikiwa basi Samia angekuwa Rais miaka 15. Yaani 2021 hadi 2034. Patamu hapo. Anabadili katiba kifo hichooo!! Anafaidi mwingine.
Huyo unayempenda alipewa?Hebu nionyeshe au nitajie Tuzo yoyote ile Kllwete aliwahi kupewa nje ya Tanzania, Viongozi wote wanaostahili ustastes man wanapewa Tuzo somewhere, nionyeshe Tuzo aliyopewa Kikwete popote pale!
Hapana ni mapenzi ya mungu,mungu wetu ni AnO.Inawezekana huo mkakati wa kubadili katiba ndio uliomuondoa
Huyo unayempenda alipewa?
"Unanitega?"huu wimbo niliupendaga sana.Nani?
"Unanitega?"huu wimbo niliupendaga sana.
"Unanitega?"huu wimbo niliupendaga sana.
Nimeshangaa sana...hii nchi basi tu hawa watu wanatuona wajinga kupita maelezo..Magufuli alikuwa anataka atawale milele
Uhuni tyuuu
Si kweli Butiama wakati anakabidhiwa jumba lake alilojengewa alitoa speech kwani yeye TEMBO mpaka apewe jumba kubwa? Alikuwa fiti kinoma na kwa afya yake alitoa ahadi ya kuishi hadi miaka 100....(siwaahidi kuishi miaka 100 kama alivyowaahidi hayati nyerere kwa ili sipingiki mmevamia meli kumbe meli ya wagiriki hamponi hamsilimiki-Pina)Butyama alikua mgonjwa kitambo na ilijulikana,hapakua tu na mitandao ya kijamii enzi hizo
Issue ilikuwa serious ile mkuu ,wangeongeza tu ,si uliona MKUUNDUGAI alisema atake asitake watamuongezea.Hivi kumbe ilikuwa kweli wanataka kuongeza muda