Jakaya Kikwete: Wazee tulikataa kubadili Katiba muhula wa Urais kutoka miaka 5 kuwa miaka 7

Jakaya Kikwete: Wazee tulikataa kubadili Katiba muhula wa Urais kutoka miaka 5 kuwa miaka 7

Yule mhuni muuaji alidhamiria kweli kubadilisha katiba, japokuwa alikua anazuga eti hataki
Ndio maana akasema wastaafu wanawashwawashwa
Huyo muhuni muuaji kawaua kina nani? Na ushahidi tafadhal
 
Kuna watu wanatafuta heshima ya kwa nguvu ingawaje nobody respects them, Heshima hailazimishwi, u-statesman unakuja tu, watu wanakuona wewe ni State man na wanakuheshimu hahuhitaji kulazimisha, pure evil!
Like or not JK is a mostly honorable states person internationally he well know how to play the game!.
#TUACHE_CHUKI_BINAFSI.
 
Like or not JK is a mostly honorable person he well how to play the game!.
#TUACHE_CHUKI_BINAFSI.

Hebu nionyeshe au nitajie Tuzo yoyote ile aliyowahi kupewa nje ya Tanzania, Viongozi wote wanaostahili u-statesman wanapewa Tuzo somewhere, nionyeshe Tuzo aliyopewa popote pale.

Nionyeshe mahali alipoalikwa kama respected statesman hata tu na kuhutubia kama vile akina Mbeki au hata Mkapa kwenye Majukwaa ya respected Afrika na nje kama Asia au Americas, ..
 
Hebu nionyeshe au nitajie Tuzo yoyote ile Kllwete aliwahi kupewa nje ya Tanzania, Viongozi wote wanaostahili ustastes man wanapewa Tuzo somewhere, nionyeshe Tuzo aliyopewa Kikwete popote pale!
Huyo unayempenda alipewa?
 
Butyama alikua mgonjwa kitambo na ilijulikana,hapakua tu na mitandao ya kijamii enzi hizo
Si kweli Butiama wakati anakabidhiwa jumba lake alilojengewa alitoa speech kwani yeye TEMBO mpaka apewe jumba kubwa? Alikuwa fiti kinoma na kwa afya yake alitoa ahadi ya kuishi hadi miaka 100....(siwaahidi kuishi miaka 100 kama alivyowaahidi hayati nyerere kwa ili sipingiki mmevamia meli kumbe meli ya wagiriki hamponi hamsilimiki-Pina)
 
Back
Top Bottom