Jakaya Mrisho Kikwete, Wafanyakazi wa Tanzania wanakumiss sana. Pumzika baba, jipe raha, wewe ni binadamu!

Jakaya Mrisho Kikwete, Wafanyakazi wa Tanzania wanakumiss sana. Pumzika baba, jipe raha, wewe ni binadamu!

Ila nyinyi wafuasi wa jiwe mna hoja dhaifu sana.

Kwa hiyo kipindi cha kikwete uliwahi kununua mchele kwa hiyo hela uliyo itaja?

Kipindi cha kikwete hela ilikuwa inapatikana na bado bidhaa nyingi zilikuwa zinanunuliwa kwa bei ndogo kuanzia vifaa vya ujenzi, sukari, mafuta ya kula,nguo,

yaani kiufupi kipindi cha kikwete huduma zote za msingi zilikuwa ni bei nafuu.

Hata huo umeme wa kipindi cha jiwe ambao mnasema ulikuwa haukatiki vyanzo vyote vimejegwa na kikwete.
Usijitoe ufahamu
Mkapa aliacha unga sh 300 huyo msanii akafikisha sh 1800+
Kipindi cha huyo msanii.
Mkapa aliacha bia sh 300-600.
Mzee wa sanaa katufikisha 1500-2000
Kwa ujumla kila kitukilipanda kipindi Cha kikwete .
Hata ivyo usilie sababu ndie anaeongoza hadi sasa. Endelea kufurahia radha
 
Usijitoe ufahamu
Mkapa aliacha unga sh 300 huyo msanii akafikisha sh 1800+
Kipindi cha huyo msanii.
Mkapa aliacha bia sh 300-600.
Mzee wa sanaa katufikisha 1500-2000
Kwa ujumla kila kitukilipanda kipindi Cha kikwete .
Hata ivyo usilie sababu ndie anaeongoza hadi sasa. Endelea kufurahia radha
Kwani bei ya bidhaa alizo zikuta jiwe ndo alizo ziacha?
Wafuasi wa jiwe ni mazero vichwani.
 
img-20221219-wa0001-jpg.2451585

Wafanyakazi wa Tanzania wanakukumbuka kwa nyongeza zako nzuri za mishahara kila mwaka kwa miaka yako yote uliyotumika kama Mwajiri mkuu!! Jipe raha, pumzika kwa raha zako, kazi uliifanya!

Tunajisikia raha tunapokuona unazidi kuwa kijana kila leo! Yaani hapo una miaka 72 lakini ni kama una miaka 55. Hongera sana. Tumpe pia hongera mama Salma Kikwete naona anakulea vizuri sana!

Hongera sana mama. Tungetamani kama ikiwezekana urudi tena ikulu. (Msiniponde mawe, hayo ni mawazo yangu hata kama yanatofautiana na ya kwako).
Mimi nikajua amepumzika ile ya kiukweli kweli
 
Sasa hapo Kikwete anasifiwa kvp kwa kuteleza sheria inavyotaka?
anayemsifu anazo sababu. unapoajiriwa kuna kitu kinaitwa annual increment. ongezeko la mshahara la kila mwaka. hii inaelezwa kwenye barua yako ya ajira. wakati wa kikwete aliachana na hiyo annual increment akawa anaongeza mshahara kila mwaka mfno unaongezewa elfu 70 au 50 badala ya 12000/= ambayo ipo kisheria.
 
Back
Top Bottom