nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
anasema ndo alivyoDada yenu anasemaje kuhusiana na hili?
Mkuu kivip?akiachika ndio utaelewa maana ya ''mind your business"
Ameolewa dada yako si nyie, so dada yako ndio ana nafasi ya kumrekebisha lakini kama ameridhik nalo hilo muacheni hivyo hivyohuyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Mtakua mnaomba sana helahuyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
DuhAmeolewa dada yako si nyie, so dada yako ndio ana nafasi ya kumrekebisha lakini kama ameridhik nalo hilo muacheni hivyo hivyo
Unaweza kuta huyo shemej yako yuko bize nyinyi mnahisi hawapigii kwa kupendahuyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Ndiyo msilaumu, pia jamaa kaoa dada yenu siyo familia/ukoo.anasema ndo alivyo