Jamaa alieoa dada yangu mgumu kuwasiliana na sisi ndugu wa mkewe

Jamaa alieoa dada yangu mgumu kuwasiliana na sisi ndugu wa mkewe

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,039
Reaction score
2,657
Huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu,

Jengine bado hajamalizia mahari, kuhusu maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.

Nyie vijana acheni dharau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
 
huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Ameolewa dada yako si nyie, so dada yako ndio ana nafasi ya kumrekebisha lakini kama ameridhik nalo hilo muacheni hivyo hivyo
 
huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Mtakua mnaomba sana hela
 
Unampigia shemeji yako unataka kumwambia nini? Mwambieni dada yenu, yeye dada yenu ndio ataongea na mume wenu(shemeji yenu) full stop.
Mnataka mumzoee muanze kumuagiza matembele na maandazi kama mnavyotumwa nyie nyumbani kwenu?
Shemeji yako muheshimu.
 
huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Unaweza kuta huyo shemej yako yuko bize nyinyi mnahisi hawapigii kwa kupenda
 
Sasa awatafute ili iweje? Mtakutana kwenye matukio mkuu. Mimi ndugu wa mke niwatafute ili iweje, watu pekee ninaowasamilia once a while ni WAKWE.

Ndugu tutawasiliana kukiwa na tukio, wife awasiliane na ndugu zake, mimi ndugu zangu. Wazazi tu ndo jambo la pamoja
 
Kwanza ukiona mtu analalamika kwa ajili ya vitu vidogo vidogo kama hivi ni mswahili . Awapigie kufanya nini , kuzoea ukweni pia haifai hasa familia kama ina uswahili uswahili wasilianeni kwa mambo
ya msingi tu !
Au dada ndo kazuia mazoea anawajua mlivyo ! Vizinga promax

Tena usikute muhuni alivyokuja kuoa mlimkamua hela ya mahari utasema mnataka kufuta umaskini wenu wa karne 🤣 sasa awapigie kufanyaje !
 
Back
Top Bottom