[emoji32][emoji33][emoji29][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Alisikika shemeji mvivu akisema....Huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu,
Jengine bado hajamalizia mahari, kuhusu maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.
Nyie vijana acheni dharau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Sijajua ww ni Ke au Me,ila kama Ke sio mbaya, ila kama Me aisee tunaweza kukupoteza kwenye chama cha wanaume.Huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu,
Jengine bado hajamalizia mahari, kuhusu maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.
Nyie vijana acheni dharau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Kweli kabisa.Unampigia shemeji yako unataka kumwambia nini? Mwambieni dada yenu, yeye dada yenu ndio ataongea na mume wenu(shemeji yenu) full stop.
Mnataka mumzoee muanze kumuagiza matembele na maandazi kama mnavyotumwa nyie nyumbani kwenu?
Shemeji yako muheshimu.
Bora wew umejua udhaifuwako huwez kupiga simu mara Kwa maraHuyo shemeji yako inawezekana ni Mimi πππ... Anyway, wengine maswala ya kupiga piga simu hatuko vizuri sana angalau utume msg utajibiwa.
Hii kasumba ya kiafrica ifike wakati tuachane nayo, ameoa dada amelipa mahali mmemalizana, kazi imebaki kwa dada kuhakikisha mwamba anapata bururani aliyoilipia!Huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu,
Jengine bado hajamalizia mahari, kuhusu maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.
Nyie vijana acheni dharau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Hata wazazi wako mwenyewe hamna ulazima wa kupiga simu mara kwa maraWakwe wapigiwe japo mara moja kwa mwezi, story zisizid dakika 2,
Sijui shemej, mara wadogo wa mke hao wa kazi gani? Achanen nao, unless itokee kuna kazi mnafanya pamoja,
Au mimi pia ππHuyo shemeji yako inawezekana ni Mimi πππ... Anyway, wengine maswala ya kupiga piga simu hatuko vizuri sana angalau utume msg utajibiwa.
Yeah Mimi huo ndio udhaifu wangu mkubwa kwakweli... But angalau mleta mada amesema dada yake anasema wanaishi vizuri na jamaa so nadhani itakua nae huyo jamaa sio mtu wa simu simu ile saaana.Bora wew umejua udhaifuwako huwez kupiga simu mara Kwa mara
Kuliko et amwambie nn serious kumjulia binadamu mwenzio hali Tena unaishi na dadayke iwe kosa kweli ubinadam sikuhiz hakuna na ndio maana ni rahis hata kuuana huko kwenye hizo ndoa
Bora iwe hivo japo imenishangaza mm navoelewa mkishaona familia zinaunganaYeah Mimi huo ndio udhaifu wangu mkubwa kwakweli... But angalau mleta mada amesema dada yake anasema wanaishi vizuri na jamaa so nadhani itakua nae huyo jamaa sio mtu wa simu simu ile saaana.
Hakuna alichokisahau hukonkwenu,alishachukua mali yakeHuyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu,
Jengine bado hajamalizia mahari, kuhusu maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.
Nyie vijana acheni dharau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.