Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,531
- 5,787
Inatosha sana kabisa ! Wanatafuta mazoea ya kijinga hawa.Wakwe wapigiwe japo mara moja kwa mwezi, story zisizid dakika 2,
Sijui shemej, mara wadogo wa mke hao wa kazi gani? Achanen nao, unless itokee kuna kazi mnafanya pamoja,
Mizinga mingi hadi shemeji kaamua kujenga ukuta!!Mtakua mnaomba sana hela
Akili za kimaskini hizi. Sema unadai mahari sasa gia ya kuingilia ndo tatizo.huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Hana undugu na nyie na mazoea,mwashe kijana wa watu ajibandulie dada yenu,subirini azae wapwa zenu!Hao ndio damu yenu watawasiliana na nyie wakikua.huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Dada kamkuta mwenyewe?Kama anaishi na dada yenu Kwa Amani inatosha,
HapanaMtakuwa mnaomba sana hela nyie!
Wewe nae kama mpumbavu au unataka uolewe wewehuyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Labda anataka amshikie dadake mapumbuAwapigie ili iweje ??hataki mazoea ya kuombwa ombwa pesa na wageni kuhamia kwake
Amemuoa dada yako au wewe ? Anambato dada yako au nyie ?huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Mimi mpaka naonekana nina dharauHuyo shemeji yako inawezekana ni Mimi 😂😂😂... Anyway, wengine maswala ya kupiga piga simu hatuko vizuri sana angalau utume msg utajibiwa.
Kmmke Nimecheka kifala mwanangu Huyu atakua mswahili s anataka nayeye ajibebishe kwa mwanaume wa dada yake🥶Hana undugu na nyie na mazoea,mwashe kijana wa watu ajibandulie dada yenu,subirini azae wapwa zenu!Hao ndio damu yenu watawasiliana na nyie wakikua.
Mimi ni mmojawapo ya watu wasitaka kuwasiliana sana yaani energy yangu ipo katika ubinafsi wa mambo yangu.Kwahio unataka awasiliane na nyie ili awalipie mahali familia nzima awaoe..? Nyie mbona wapuuzi kias hiko..? Amemuoa binti yenu hajaoa familia nzima kenge nyie... Kama kuna ulazima wa kuwapigia cm kuwasalimia au kuwajulisha atafanya hivyo, kama haoni ulazima muacheni wapuuzi nyie... Mnaonekana mnapenda sana umbea na kufuatilia maisha ya watu ndio maana anawakwepa...
Halafu mtambue kuna watu amani yao ya moyo ni kutokuwasiliana na watu hovyo, wanapenda maisha binafsi tu...
Kama mnataka taarifa na kusalimiwa binti yenu ndie afanye hivyo maana yeye ndie ndugu yenu sio mumewe...