Jamaa alieoa dada yangu mgumu kuwasiliana na sisi ndugu wa mkewe

Waliishi vizuri tu, na lawama ndogo ndogo hazikuwepo... Lawama za kwanini hupigi simu
Izo ni kawaida ,japo kwa mama mkwe lazima umpigie pia uwe Unakumbuka kumtumia Hela na kusaidia upande wa kike kama kuwasomesha shemeji zako na kuwa panmichongo
 
Yeah, Inapobidi kufanya hivyo unafanya.
 
Njaa mbaya sana

Hivi inakuwaje mtu unafuatilia maisha ya shemeji yako?
 
huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Nimesikitika sana kujua kijana analeta ZADHAU [emoji81][emoji81][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vipi anko ulimletea simu nyingine maake techno ilikuwa jau......

Dogo Leo katengewa msosi au ndo bila bila

Na Leo upo na dada hapigi simu......
 
Kwahiyo simu inasingiziwa tu sio
Simu inasingiziwa huyo ajali upande wa mke wake,wazee wetu wameishi enzi hakuna simu Wala Nini,unakuta umezaliwa unaambiwa kaka yako ni askari yupo mara unakwenda hadi miaka 7 amjaonana lakini n ndugu
 
Yeah ni kweli mkuu
 
huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Anakuheshimuni sana huyo jamaa. Huyo ndio mwanaume sasa. Wanaume wengi tunapiga simu ukweni mara chache sana. Kwa mwaka inahesabika. Mkimjulia afya dada yenu automatically mtajua na ya mumewe. Shida ikitokea utamuona akiwa front hapo hawezi jivunga. That's how real men are.

Hivi ndio yule uliyelalamika humu anaishi na dada yenu bila kutoa mahali unamlia timing?
 
Labda alitoa mahali kubwa tofauti na alichokutana nacho, mpeni bonus na wewe uende kuungana na dada yako labda ataanza kupigapiga simu walau kidogo.
 
huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Mnataka awapigie awaambie nini?
 
Huwa mkimpigia anapokea?
 
Back
Top Bottom