Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuna tatizo gani?Ameolewa dada yako si nyie, so dada yako ndio ana nafasi ya kumrekebisha lakini kama ameridhik nalo hilo muacheni hivyo hivyo
Wewe unataka uwe unaongea nae nini muda wote au nyie ni familia ya wajita nimpe pole uyo muoaji.huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Umemaliza.Unampigia shemeji yako unataka kumwambia nini? Mwambieni dada yenu, yeye dada yenu ndio ataongea na mume wenu(shemeji yenu) full stop.
Mnataka mumzoee muanze kumuagiza matembele na maandazi kama mnavyotumwa nyie nyumbani kwenu?
Shemeji yako muheshimu.
Ndio.
Unamuonea wivu dada Yako, unatamani kuolewa wewehuyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Hapana aupo sawaBora huyo inapita miezi 6, Mimi hata kuwaza kupiga sijawai waza,niongee nao nini.
Wewe ni ke?
Kweli,first time nilikuwa karibu na watoto wa kike wa ukweni( wakiume nao kama Mimi ,wanakaza), nikaambiwa natembea na Mmoja wao,toka hapo niliacha mazoea kabisa...Mimi hata mwaka mkuu unakata sina habari.Hapana aupo sawa
Kamchukue umrudishe kwenu.Dada kamkuta mwenyewe?
Maajabu.That's me enzi hizo nikiwa na mke.sijawahi kuwa na mawasiliano na kwao kabisa kabisa. Ya kazi Gani? Ila misiba unaenda na vya kuchangia unachangia.
Nashangaa saivi unakuta Xmass au new year mtu anaupokelea ukweni. Tena SI mara Moja. Yaani mara kibao kijana wa kiume Yuko kwa wakwe Hadi Kona za vyumbani anazijua zote. Foolishness
Kwenu msikao kikao na kuamua kwa sauti moja kwamba wote muende mkaolewe naye?huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu,
Kumbe 'mlimuuza' nendeni mkadai amalizie kilichobaki ili kila mtu atambae na atakachopata katika 100 gawa kwa idadi yenujengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.
Nauli kamaili. Sio shemeji aanze kuangaika kutafuta change, tumeelewana enhe?Tena msije kuonesha pua zenu huko kwa shemeji yenu bila kua na mualiko rasmi. Na ukialikwa ni siku tatu tu mwisho wa kukaa na uje na nauli kamili ya kuja na kurudi
Safi.Tena msije kuonesha pua zenu huko kwa shemeji yenu bila kua na mualiko rasmi. Na ukialikwa ni siku tatu tu mwisho wa kukaa na uje na nauli kamili ya kuja na kurudi
Umezingua sana.Izo ni kawaida ,japo kwa mama mkwe lazima umpigie pia uwe Unakumbuka kumtumia Hela na kusaidia upande wa kike kama kuwasomesha shemeji zako na kuwa panmichongo
Acha kuendekeza njaa kijanahuyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari, kuhus maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.nyie vijana acheni zadhau, tu nampigia tu dada yetu. yeye no.