BAKIIF Islamic
JF-Expert Member
- Jul 11, 2021
- 600
- 1,843
Wamemtia SINDANO huyooSalwan Sabah Matti Momika ni mkosoaji wa Uislamu. Anajulikana kwa kupanga maandamano nchini sweden ambapo alichoma Quran hadharani.
Momika alizaliwa katika familia ya Kikristo, lakini alibadilika na kua mtu asiyeamini uwepo wa Mungu.
Mnamo 2023, Momika alipanga mfululizo wa maandamano kama ukosoaji juu ya Uislamu. Wakati wa maandamano hayo, aliinajisi Quran kwa kuichoma chini ya ulinzi wa polisi.
View attachment 2951183
Salwan Momika anarudi kukutana na Mwenyezi Mungu katika mwezi wa Qur'an mwezi wa Ramadhan.
...........
View attachment 2951184
Kwahiyo amekufa kwasababu ya kuchoma kuruani? Kama chanzo ni kuchoma kuruani mbona imepita muda mpaka umauti kumkuta? Je asingeichoma asingekufa? Ndiyo maana afande sele aliwekwa ndani baada ya shehe kusema atakufa ndani ya siku 7 ili kumuepusha na wahuni kumdhuru kwa kisingizio cha dua kutimia.
Mlimuua? Kwanini huyo Mungu wa Qur'an asijitetee mwenyewe?Hata yule aliyeichoma Qur'an Tanzania alikutwa amekufa.
Jiaribu• Sidhana kama ukichoma Qur'an, unaweza kufa.....
Haijathibitishwa kama kauwawa au kafa mwenyeweWamemuua
Itakua kifo cha kawaidaKifo gani?
Mauaji ya kimwili au albadri?
Kifo. Ni ahadi• Sidhana kama ukichoma Qur'an, unaweza kufa.....
• Sidhana kama ukichoma Qur'an, unaweza kufa.....
🤣Wamemtia SINDANO huyoo
raHata yule aliyeichoma Qur'an Tanzania alikutwa amekufa.