Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

BAKIIF Islamic

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2021
Posts
600
Reaction score
1,843
Salwan Sabah Matti Momika ni mkosoaji wa Uislamu. Anajulikana kwa kupanga maandamano nchini sweden ambapo alichoma Quran hadharani.

Momika alizaliwa katika familia ya Kikristo, lakini alibadilika na kua mtu asiyeamini uwepo wa Mungu.

Mnamo 2023, Momika alipanga mfululizo wa maandamano kama ukosoaji juu ya Uislamu. Wakati wa maandamano hayo, aliinajisi Quran kwa kuichoma chini ya ulinzi wa polisi.

1712011086477.png

Salwan Momika anarudi kukutana na Mwenyezi Mungu katika mwezi wa Qur'an mwezi wa Ramadhan.

...........
1712011163289.png
 
Kwahiyo amekufa kwasababu ya kuchoma kuruani? Kama chanzo ni kuchoma kuruani mbona imepita muda mpaka umauti kumkuta? Je asingeichoma asingekufa? Ndiyo maana afande sele aliwekwa ndani baada ya shehe kusema atakufa ndani ya siku 7 ili kumuepusha na wahuni kumdhuru kwa kisingizio cha dua kutimia.
 
View attachment 2951183

Salwan Momika anarudi kukutana na Mwenyezi Mungu katika mwezi wa Qur'an mwezi wa Ramadhan.

...........
View attachment 2951184
Wamemtia SINDANO huyoo
 
Kwahiyo amekufa kwasababu ya kuchoma kuruani? Kama chanzo ni kuchoma kuruani mbona imepita muda mpaka umauti kumkuta? Je asingeichoma asingekufa? Ndiyo maana afande sele aliwekwa ndani baada ya shehe kusema atakufa ndani ya siku 7 ili kumuepusha na wahuni kumdhuru kwa kisingizio cha dua kutimia.

Sababu yoyote iwayo lakini ndiyo kazima.
 
Back
Top Bottom