Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

Mzee mwenzangu jaribu na wewe kuichoma tuone Achana nao hao wengine
Wenye quran wamemuua baada ya kumuwinda tangu achome uongo huo uliotamalaki duniani. Hata hivyo itachomwa tena na wengine mpaka dunia nzima iache kuamini na kuabudu uongo huo
 
Na wengine wanaokutwa wamefariki mwezi huu wa Ramadhan, wao walichoma nini?
 
Mwamba huyo.. Kuna waislam wenye itikadi kali watakuwa wamemwekea sumu
 
Yule mwenzie rushidiee anaishi kama digi digi huko ughaibuni!
 
Ukitaka kukiona kifo cha kuhuwawa live bilachenga fanya hivo, waislum ni magaidi watakutafuta tu!.
 
Sijui Babu yangu na ndugu zangu na marafiki kadhaa waliokutwa wamekufa walichoma nini ?

Anyway hapo mpelelezi anaweza akaanza na watu walioudhika na hio kadhia sababu wana motive... Ila kama kama hajafa kwa mkono wa mtu All that lives must die....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…