Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

Salwan Sabah Matti Momika ni mkosoaji wa Uislamu. Anajulikana kwa kupanga maandamano nchini sweden ambapo alichoma Quran hadharani.

Momika alizaliwa katika familia ya Kikristo, lakini alibadilika na kua mtu asiyeamini uwepo wa Mungu.

Mnamo 2023, Momika alipanga mfululizo wa maandamano kama ukosoaji juu ya Uislamu. Wakati wa maandamano hayo, aliinajisi Quran kwa kuichoma chini ya ulinzi wa polisi.

View attachment 2951183

Salwan Momika anarudi kukutana na Mwenyezi Mungu katika mwezi wa Qur'an mwezi wa Ramadhan.

...........
View attachment 2951184
Allah Amlipe linalostahili
 
DINI NYINGINE ZINAKUWA NA WAUAJI AMBAYO WAMEIDHINISHWA NA IMANI. YAANI SHETANI ANAMFANYA MUUAJI AAMINI ANAUA KWA SABABU YA. MSINGI. BUT KUMBE NI UUAJI KAMA UUAJI MWINGINE TU.
 
Nabado hao matahira wenzake ambao walichoma Quran bado tunasubiri mchanga wao
Baada ya muda gani? Kila mtu atakufa sheikh hata ambaye ni ustaadhi au maalim atakufa na wanakufa kwa magonjwa , ajali, umri n.k masheikh, mapadre, maustadhi, wachungaji. Kwa kuuawa kwa natural course.
 
Ila Wenzetu Jamani ufahamu wao Huwa umefungwa Sijui 😁Yaani Wana mambo ya kitoto vile!! Hadi Huwa ninawaza Huwa Wana Akili timamu kweli?? Hapa wamefunga but wanafutumusha matusi,wengine Wanafunga machoni Mwa Watu akiwa Pekee anakula😂Sasa sijui wanafañya kwaajili ya Nani sasa.
 
Acha wehu waislamu dini Yao ndo yakweli syo wewe tahira ambaye hujui kitu
Tahira niseye na akili lakini namtatua mama yako jicho dogo wewe mwenye akili unaambiwa ukaue watu sokoni ukiahidiwa kum.a peponi, yani ati peponi unafuata kum.a ?!! Yani peponi yenu cha maana ni kum.a ?! Na unajiita una akili magaidi ni majinga majinga sana.
 
Ogopa sana watu wakikaa kimya kwenye jambo fulani, ndani ya mioyo yao kuna fukutaa. Watakuacha kwa muda nawe utaamini yameishaaa kumbe a day is comming
 
• Sidhana kama ukichoma Qur'an, unaweza kufa.....
Inshort Quran au hata huyo allah hawezi kuua mtu kisa kuchoma kitabu, kumbuka kitabu kimebeba ujumbe wa allah na si kitabu ni allah, hivyo wengi wanaamini kitabu na hawajui kama kile ni uwakilishi.

Ni wamemuua, wamemuua tu hao!.
 
Back
Top Bottom