Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

Inshort Quran au hata huyo allah hawezi kuua mtu kisa kuchoma kitabu, kumbuka kitabu kimebeba ujumbe wa allah na si kitabu ni allah, hivyo wengi wanaamini kitabu na hawajui kama kile ni uwakilishi.

Ni wamemuua, wamemuua tu hao!.
Watu wenye maono kama wewe, ni wachache sana... Huyo mtu wamemua hakuna kingine,,
 
Salwan Sabah Matti Momika ni mkosoaji wa Uislamu. Anajulikana kwa kupanga maandamano nchini sweden ambapo alichoma Quran hadharani.

Momika alizaliwa katika familia ya Kikristo, lakini alibadilika na kua mtu asiyeamini uwepo wa Mungu.

Mnamo 2023, Momika alipanga mfululizo wa maandamano kama ukosoaji juu ya Uislamu. Wakati wa maandamano hayo, aliinajisi Quran kwa kuichoma chini ya ulinzi wa polisi.

View attachment 2951183

Salwan Momika anarudi kukutana na Mwenyezi Mungu katika mwezi wa Qur'an mwezi wa Ramadhan.

...........
View attachment 2951184
Acheni kusambaza uongo.
 
Na wewe choma basi mkuu,,wacha kutishia kujamba huku una tumbo la kuhara.
• Ivi umekaza kabisa fuvu unaamini kabisa kitabu kinaua 🤔🤔??. Mbona tunakosa maarifa kiasi hiki!!

• Kama ni kitabu kweli cha Mungu yani kiue mtu kisa amekichoma???

• Mungu ashindwe kuua wahalifu sugu waliomwaga damu za watu... Aje ahahangaike na kakitabu kamoja??


… Semeni tu ukweli kuwa : wamemua kwa hasira za udini, hakuna kingine Zaidi ya hicho.
 
Huu mwezi huwa wanatoa kafara za damu kwa huyo jamaa mwenye mikono miwili upande mmoja nguu mmoja
 
kuna watu kibao hawajachoma quran na wakekutwa wamekufa ,
 
Hata yule aliyeichana Qur'an Tanzania alikutwa amekufa.
Wajinga kweli ninyi kwa hiyo kwenu muujiza mnaoukubali ni ule wenye madhara tu kwenye uponyaji mnakataa tena kwa hasira.Allah kweli ni yule joka kuu!
 
Back
Top Bottom