Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

Hata kama hauamini kuhusu uwepo wa Mungu unapaswa kuheshimu watu wanao amini pamoja na njia wanazo tumia kumuamini.
 
Salwan Sabah Matti Momika ni mkosoaji wa Uislamu. Anajulikana kwa kupanga maandamano nchini sweden ambapo alichoma Quran hadharani.

Momika alizaliwa katika familia ya Kikristo, lakini alibadilika na kua mtu asiyeamini uwepo wa Mungu.

Mnamo 2023, Momika alipanga mfululizo wa maandamano kama ukosoaji juu ya Uislamu. Wakati wa maandamano hayo, aliinajisi Quran kwa kuichoma chini ya ulinzi wa polisi.

View attachment 2951183

Salwan Momika anarudi kukutana na Mwenyezi Mungu katika mwezi wa Qur'an mwezi wa Ramadhan.

...........
View attachment 2951184
Screenshot_20240402_155224_X.jpg

Akifufuka Bakii utajificha wapi?
 
Ila Wenzetu Jamani ufahamu wao Huwa umefungwa Sijui 😁Yaani Wana mambo ya kitoto vile!! Hadi Huwa ninawaza Huwa Wana Akili timamu kweli?? Hapa wamefunga but wanafutumusha matusi,wengine Wanafunga machoni Mwa Watu akiwa Pekee anakula😂Sasa sijui wanafañya kwaajili ya Nani sasa.
Wanafanya kwa ajili ya nafsi zao. Funga za hivyo Mungu Huwa Hana haja nazo.
imeandikwa tumefaradhishiwa kufunga km walivyofaradhishiwa waliokuja kabla yetu ili tupate Kumcha MwenyeziMungu. Sasa km kuna wanaofunga machoni mwa watu then wakiwa wenyewe wanakula ndio hawamchi MwenyeziMungu hao
 
2014 mwanangu alichanaga baada ya kubishana sana unageuka chura na unalaaniwa alipochana tukasubir mpaka mwezi akaja akaichana tena Daah huyu mbwa nikimuangalia mpaka leo simmalizi sisi tuliokuwa tunajifanya wsshika dini mambo magumu ila yeye anazidi kupasua tu.
 
Mbaya sanaaaa Kucheza na Mungu hata Gadafi aliwahi kupasua Bible pale Dom leo yupo wapi ni vema kuheshimu Imani ya Mwenzio
 
Choma mkuu,,usitishwe na kiberenge yeyote,,

Halafu utatupa mrejesho.


Hata ukichana biblia huwezi kufa, acheni upumbavu wenu, hivi vitabu vina maana na nguvu sana, kwa watu wanabyoviamini na kufunuliwa kuviamini, kwa wengine ni magazeti, wakichana hakuna shida
 
Hata kama hauamini kuhusu uwepo wa Mungu unapaswa kuheshimu watu wanao amini pamoja na njia wanazo tumia kumuamini.
Mkuu Likud,

Kuna ubaya gani mtu kuchana kitabu alichonunua kwa pesa yake?
 
Back
Top Bottom