Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Ungekuwa Muislam wala usingesema maana Maislam wanasema Katika Story ya Nabii Mussa alipogomea Kifo,Allah siyo Kama Mungu wako aliyepigwa mitama na makofi usiku kucha na yakobo
Allah alimtuma Malaika Israil aende kuchukua roho ya Mussa... Bahati mbaya Nabii Mussa alikuwa Mcheza karate.. Malaika Israil alipomtokea Mussa ili achukue roho yake Mussa akamchapa makonde hadi Jicho moja la Malaika likachomoka.. Malaika akaondoka zake kusema kwa Allah, Malaika Israil alipofika kwa Allah akaanza kulia jicho mkononi Allah akalirejesha jicho vizuri...
Ipi kali kati ya Yacob kushikana na Malaika au Mussa Kumpiga Malaika hadi Kumtoa Jicho na kugoma Kufa?