Jamaa ameoa binti bila(shake well before use)baada ya ndoa amegundua mkewe ameharibiwa

Jamaa ameoa binti bila(shake well before use)baada ya ndoa amegundua mkewe ameharibiwa

Inabidi achague moja aaache au na yeye aendeleze mchezo, la sivyo atakua anaenda kule kwa zamani kupata kitu roho inapenda. hii dunia jamani saa nyingine unatamani upite tu haraka mambo yaishe daah.
 
Ni jamaa nimesoma nae nilimchangia harusi yake iliyofana sana yeye Ameniambia kuwa amegundua mke wake alikua anaifanya dhambi ya sodoma na gomora na alikataa wasisogeleane(shake well before use)kabla ya ndoa
Nimetumia tafsida kuna watoto humu
sasa anawaza afanyaje ?amwache mke au alisongeshe life?nimeleta kwenu wanajamvi tuone tunamsaidiaje huyu mheshimiwa kwan ana stress sana
Nimesikitika sana hii taarifa okey karibuni
Amejuaje kaharibiwa uko nyuma kama ajajaribu hilo la kwanza na kama kajaribu nae ni wale wale!!
Harafu iyo ndoa aitadumu kama ilo tatizo lipo kweli kosa lake la kwanza ni kukwambia wewe jambo kama hilo,kwasababu mwenye akili anajua aibu ya mkeo ni yako sasa apo kaja kumuaibisha nani?atakama alikuta ivyo alishakula kiapo cha ndoa anataka afanyaje zaidi ya kutafuta namna ya kumsaidia mkewe na hilo tatizo likaisha mshauri uyo rafiki yako akue na awe mwanaume kwenye ndoa yake asiwe wakiume
 
Mkuu haujaelewa thread inasemaje,soma tena na tena ili uelewe
Labda unieleweshe, maana nimeona mambo mawili ndani ya posti moja: 1. kwamba kaoa bila 'shake well before use' (ukimaanisha angefanya kwanza ngono kumjua huyo mkewe kabla hawajaoana), na 2. ana stress, hivyo anahitaji counseling...

Sasa labda hoja yako hapa ni ipi?
 
Dah..apo atafute njia ya kumfanya asiendeleze ako ka mchezo.nahc kwenye ndoa si jambo jema..ingawa imekuwa fasion sana siku hizi...ikishindika basi yeye anifunze ako ka mchezo ili awe ana msaidia kwenda sawa. Ingawa mimi namshaur ajitahd kumsaidia au kutafuta wataalam wakao msaidia mkewe aache kabisa..the best way kama ni mtu wa imani aende kwa pastor wakamuombee mkewe..Mpe pole zake sana...
 
Unaweza kuta jamaa alitaka eva mke akawa MP ili kuona jamaa atakasirika so akaamua ampe mtandao wenu uo
 
Mwambie ameshaoa tayari ale tu na yy mtandao maana hakuna namna ale tu
 
Labda unieleweshe, maana nimeona mambo mawili ndani ya posti moja: 1. kwamba kaoa bila 'shake well before use' (ukimaanisha angefanya kwanza ngono kumjua huyo mkewe kabla hawajaoana), na 2. ana stress, hivyo anahitaji counseling...

Sasa labda hoja yako hapa ni ipi?
Sawa mkuu,we umebez kwenye point ya kwanza na mimi nimebez kwenye nini? tumshauri
 
Ni jamaa nimesoma nae nilimchangia harusi yake iliyofana sana yeye Ameniambia kuwa amegundua mke wake alikua anaifanya dhambi ya sodoma na gomora na alikataa wasisogeleane(shake well before use)kabla ya ndoa
Nimetumia tafsida kuna watoto humu
sasa anawaza afanyaje ?amwache mke au alisongeshe life?nimeleta kwenu wanajamvi tuone tunamsaidiaje huyu mheshimiwa kwan ana stress sana
Nimesikitika sana hii taarifa okey karibuni
Masahihisho kidogo JF hakuna watoto
 
Sawa mkuu,we umebez kwenye point ya kwanza na mimi nimebez kwenye nini? tumshauri
Okay! labda niulize kwanza kabla sijashauri... amefungia wapi ndoa? I mean, Kanisani? Msikitini? Kwa Mkuu wa Wilaya? Au ya Kimila?...
 
Rule that you should consider before marriage "Shake Well Before Use"
 
Mi nashangaa sana

Hivi ni nani aliyesema ndoa huwa haivunjiki

Ndoa ni makubaiano ya watu wawili wenye common interest

Pale maelewano yanapoondoka ndoa haipo tena..Vunja tu

Kwani nani amesema lazima ufe na huyohuyo ukishaoa..mambo ya kizamani hayo
 
Huyo nae ni mtumiaji wa hiyo bidhaa!
Ameumia baada ya kukuta ilishatumika!
Amejuaje?
 
Back
Top Bottom