Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Swali zuri. Kwa vyovyote itakuwa ni mtumiaji pia. Ila kaumia kukuta sio yeye aliyeanzisha matumiziKwanza tujulishe amejuaje kama line two ishawahi kutumika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali zuri. Kwa vyovyote itakuwa ni mtumiaji pia. Ila kaumia kukuta sio yeye aliyeanzisha matumiziKwanza tujulishe amejuaje kama line two ishawahi kutumika?
ha ha ha airtel means kwa mdomo ha ha ha haaaaa...nimecheka sanaaMkwepa kodi ongezea na airtel siku hizi nayo ni ruksa wanakula na koni
Amejuaje kaharibiwa uko nyuma kama ajajaribu hilo la kwanza na kama kajaribu nae ni wale wale!!Ni jamaa nimesoma nae nilimchangia harusi yake iliyofana sana yeye Ameniambia kuwa amegundua mke wake alikua anaifanya dhambi ya sodoma na gomora na alikataa wasisogeleane(shake well before use)kabla ya ndoa
Nimetumia tafsida kuna watoto humu
sasa anawaza afanyaje ?amwache mke au alisongeshe life?nimeleta kwenu wanajamvi tuone tunamsaidiaje huyu mheshimiwa kwan ana stress sana
Nimesikitika sana hii taarifa okey karibuni
Labda unieleweshe, maana nimeona mambo mawili ndani ya posti moja: 1. kwamba kaoa bila 'shake well before use' (ukimaanisha angefanya kwanza ngono kumjua huyo mkewe kabla hawajaoana), na 2. ana stress, hivyo anahitaji counseling...Mkuu haujaelewa thread inasemaje,soma tena na tena ili uelewe
hahaha, watoto wanapenda kulamba lamba aisikrimu😀😀ha ha ha airtel means kwa mdomo ha ha ha haaaaa...nimecheka sanaa
Sawa mkuu,we umebez kwenye point ya kwanza na mimi nimebez kwenye nini? tumshauriLabda unieleweshe, maana nimeona mambo mawili ndani ya posti moja: 1. kwamba kaoa bila 'shake well before use' (ukimaanisha angefanya kwanza ngono kumjua huyo mkewe kabla hawajaoana), na 2. ana stress, hivyo anahitaji counseling...
Sasa labda hoja yako hapa ni ipi?
Masahihisho kidogo JF hakuna watotoNi jamaa nimesoma nae nilimchangia harusi yake iliyofana sana yeye Ameniambia kuwa amegundua mke wake alikua anaifanya dhambi ya sodoma na gomora na alikataa wasisogeleane(shake well before use)kabla ya ndoa
Nimetumia tafsida kuna watoto humu
sasa anawaza afanyaje ?amwache mke au alisongeshe life?nimeleta kwenu wanajamvi tuone tunamsaidiaje huyu mheshimiwa kwan ana stress sana
Nimesikitika sana hii taarifa okey karibuni
Okay! labda niulize kwanza kabla sijashauri... amefungia wapi ndoa? I mean, Kanisani? Msikitini? Kwa Mkuu wa Wilaya? Au ya Kimila?...Sawa mkuu,we umebez kwenye point ya kwanza na mimi nimebez kwenye nini? tumshauri
Hahahahahaaaa! Pengine anamaanisha wale watoto watukutu wapiga chabo, maana hawakosekani kila mahali...Masahihisho kidogo JF hakuna watoto
Labda tumuulize mletaOkay! labda niulize kwanza kabla sijashauri... amefungia wapi ndoa? I mean, Kanisani? Msikitini? Kwa Mkuu wa Wilaya? Au ya Kimila?...