Jamaa amrekodi mkewe akinywa sumu, mpaka kufariki dunia

Jamaa amrekodi mkewe akinywa sumu, mpaka kufariki dunia

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Hii habari nimekutana nayo Twitter, sijajua ukweli wake hasa ni nini lakini si mbaya niki-share nanyi

--
Anaitwa DJ Brownskin...

Alimrekodi mkewe akinywa sumu. Alimshawishi mwanamke huyo anywe sumu, kisha akamwita housegirl ili amnyweshe maziwa huku akiendelea kurekodi mambo yote.
Mmoja wa watoto wao wawili alionekana kwenye video.

'
He's called DJ Brownskin...

Recorded his wife taking poison. He prodded and encouraged an already tipsy woman to take poison, latter calling the housegirl to give her milk while still recording the whole thing.

At some point, one of their two children appears in the video

1.jpg
2.jpg


--




 
Amrekodi Mkewe akinywa sumu hadi kufa mbele ya watoto halafu akapost mtandaoni

Kuna watu wana roho ngumu sana kuwahi kutokea jamaa huko Kenya amemrekodi mke wake akinywa sumu hadi akikata roho bila hata kujigusa halafu baadae akapost kwenye mitandao

Ukienda tu fb ukisearch "DJ Brownskin" hiyo video utaiona sijui tunaelekea wapi

Hiyo video nimeiona kwenye mtandao nikashtuka
DJ from Hell [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kenya's Top DJ records his wife as she gulps "Lava Pesticide"(sumu ya kuua mende na kunguni)

DJ Brownskin watched his wife poison herself in July last year. He cheered her "mix them gather dem" as he recorded the whole ordeal till she died as their kids watched in awe. He did not try to intervene or report to authorities.

“Your death left a gaping hole in my life that I fill with the love we shared,” He went to mourn her via Instagram

Eeeh jachien ogo Kom e marriage institution [emoji24][emoji24][emoji24]
Awuoro vidio no

A video of DJ Brownskin Fullu Fullu recording his wife poisoning herself to death without him intervening makes its way to BNN. #bnn #djbrownskinfullufullu.
1680433960642.jpg
View attachment 2574004
1680430682758.jpg
View attachment 2574006
1680430975718.jpg
1680433960642.jpg
 
Mm
[emoji849] 8
9
ni don't 6
want[emoji7]s 8991mpul pi pjm m.




to
kwa 7jiipuoo[emoji2][emoji7][emoji7][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]s8991mpupio
4[emoji7][emoji106][emoji7]
K km m633 uh u biashara magana a[emoji7][emoji7][emoji849][emoji7]90 okl9
 
Back
Top Bottom