Jamaa amrekodi mkewe akinywa sumu, mpaka kufariki dunia

Jamaa amrekodi mkewe akinywa sumu, mpaka kufariki dunia

Mbona yaonesha anapewa maziwa anakataa tumia?

Binafsi mtu akitaka jiua namsaidia ajiue mapema kwa kumpa mbinu bora
 
Ni kutokea hapo Kenya Mwanaume anaitwa Djbrown Skin.

Inasemekana Mwanamke alikua dramatic Sana, She tried a couple of times kunywa sumu wakamuwahi. So this time around umauti umemkuta

From an article hapo chini jamaa sheria lazima imle Kichwa
 
Attachments

  • 20230402_155750.jpg
    20230402_155750.jpg
    132.2 KB · Views: 3
Yaani maisha mazuri na matamu hivyo mtu anajiua.
Huyo hata mbinguni haendi
Unakula maisha matamu ukiwa wapi,mkuu?
Yawezekana wewe na Makonda wa miaka ile ndiyo mnainjoi laifu hasa.
 
Hiyo kesi ni mbaya sana kwa DJ,angetalakiana nae tu,kuliko hivyo.
 
Hii habari nimekutana nayo Twitter, sijajua ukweli wake hasa ni nini lakini si mbaya niki-share nanyi

--
Anaitwa DJ Brownskin...

Alimrekodi mkewe akinywa sumu. Alimshawishi mwanamke huyo anywe sumu, kisha akamwita housegirl ili amnyweshe maziwa huku akiendelea kurekodi mambo yote.
Mmoja wa watoto wao wawili alionekana kwenye video.

'
He's called DJ Brownskin...

Recorded his wife taking poison. He prodded and encouraged an already tipsy woman to take poison, latter calling the housegirl to give her milk while still recording the whole thing.

At some point, one of their two children appears in the video

View attachment 2573846View attachment 2573847

--
View attachment 2573858
View attachment 2573863
View attachment 2573865
View attachment 2573866
View attachment 2573871
Walikuwa na bifu?
 
Tuthibitishie ni wapi kwenye ile video huyo dj kamshawishi mke wake kunywa sumu, tatizo watu mnakimbilia sana kuhukumu yule mwanamke mwenyewe anaonekana toxic sana bila shaka hata mume alishachoka, hata ile kunywa sumu aliamini mume angemzuia, na jamaa alichukua video ili kutunza ushahidi, inaumiza zaidi pale mtoto alipokua anamuita mama yake na mama anajibu, hakuna mtu anaweza kuacha mama watoto wake afe kizembe yule mwanamke kwa point aliyokua amefikia angeweza kumuwekea sumu hata mume wake.
 
Huyu mwanamke ni wale ma feminists na toxic women kwanza anakunywa sumu kwa dharau anadhani anamkomoa jamaa, kumbe ana jidhuru mwenyewe...

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Hii habari nimekutana nayo Twitter, sijajua ukweli wake hasa ni nini lakini si mbaya niki-share nanyi

--
Anaitwa DJ Brownskin...

Alimrekodi mkewe akinywa sumu. Alimshawishi mwanamke huyo anywe sumu, kisha akamwita housegirl ili amnyweshe maziwa huku akiendelea kurekodi mambo yote.
Mmoja wa watoto wao wawili alionekana kwenye video.

'
He's called DJ Brownskin...

Recorded his wife taking poison. He prodded and encouraged an already tipsy woman to take poison, latter calling the housegirl to give her milk while still recording the whole thing.

At some point, one of their two children appears in the video

View attachment 2573846View attachment 2573847

--
View attachment 2573858
View attachment 2573863
View attachment 2573865
View attachment 2573866
View attachment 2573871
Wadhungu washenzi sana
 
Jamaa anavyoongea inaonekana alikuwa kalewa sana, ndio maana alichelewa kumtagizia maziwa
 
Jamaa anavyoongea inaonekana alikuwa kalewa sana, ndio maana alichelewa kumtagizia maziwa
Vitisho vya mtu kutaka kujiua kuna watu huwa wanapotezea na hawajali.
Mi niliwahi kutishia (ukweli sikuwa namaanisha) nikachukua dawa nyingi, nikachukua maji na kujifanya kama nataka kumeza, yaani hakuna aliyeonesha kujali.

Nikajihakikishia kuwa thamani ya maisha yangu ni mimi binafsi napaswa kuilinda.

Ukifa watu watalia kisha watasahau. Hakuna sababu ya kudhuru maisha yako. Ukiona mtu/watu hawajali hisia zako, achana nao
 
Back
Top Bottom