Jamaa amrekodi mkewe akinywa sumu, mpaka kufariki dunia

Jamaa amrekodi mkewe akinywa sumu, mpaka kufariki dunia

Tuthibitishie ni wapi kwenye ile video huyo dj kamshawishi mke wake kunywa sumu, tatizo watu mnakimbilia sana kuhukumu yule mwanamke mwenyewe anaonekana toxic sana bila shaka hata mume alishachoka, hata ile kunywa sumu aliamini mume angemzuia, na jamaa alichukua video ili kutunza ushahidi, inaumiza zaidi pale mtoto alipokua anamuita mama yake na mama anajibu, hakuna mtu anaweza kuacha mama watoto wake afe kizembe yule mwanamke kwa point aliyokua amefikia angeweza kumuwekea sumu hata mume wake.
Kataa ndoa, oa, zaa, jenga familia, ila hakuna kufunga ndoa
 
Vitisho vya mtu kutaka kujiua kuna watu huwa wanapotezea na hawajali.
Mi niliwahi kutishia (ukweli sikuwa namaanisha) nikachukua dawa nyingi, nikachukua maji na kujifanya kama nataka kumeza, yaani hakuna aliyeonesha kujali.

Nikajihakikishia kuwa thamani ya maisha yangu ni mimi binafsi napaswa kuilinda.

Ukifa watu watalia kisha watasahau. Hakuna sababu ya kudhuru maisha yako. Ukiona mtu/watu hawajali hisia zako, achana nao
Mimi kuna demu mwaka 2017 alitaka kunifanyia huu ujinga, kachukua midonge kibao ili anywe, ile kaweka mdomoni tu, nilimrukia shingo na kumkaba kama nataka kuvunja shingo, alitema midonge yote.., nikaachana nae, sijamtia tena machoni hadi leo
 
Vitisho vya mtu kutaka kujiua kuna watu huwa wanapotezea na hawajali.
Mi niliwahi kutishia (ukweli sikuwa namaanisha) nikachukua dawa nyingi, nikachukua maji na kujifanya kama nataka kumeza, yaani hakuna aliyeonesha kujali.

Nikajihakikishia kuwa thamani ya maisha yangu ni mimi binafsi napaswa kuilinda.

Ukifa watu watalia kisha watasahau. Hakuna sababu ya kudhuru maisha yako. Ukiona mtu/watu hawajali hisia zako, achana nao
Ungekoma.kila mtu ana maisha yake
 
🙌🙌🙌🙌🙌jamaa katili asee huwezi kaa kushuhudia mtu akifa mbele yako hii mbaya
 
20230402_160808.jpg
Screenshot_2023-04-02-16-26-24-690-edit_com.facebook.katana.jpg
 
Nilishawahi kuwa na mahusiano ya namna hii, tena na Mwana JF wa humuhumu.

Niwaambie tuu this kind of relation ni ngumu sana ku handle na anytime unaweza jikuta behind bars. Ukiweza basi kitu inayoitwa mahusiano ama ndoa haitakusumbua maishani.

Huyo dada kwa sasa ni marehemu(RIP).
 
Ungekoma.kila mtu ana maisha yake
Yaani, we acha tu!
Tangu hapo mi huwa natafuta furaha yangu bila kutegemea mtu/watu fulani!
Na nikiona fulani ni kikwazo, nakaa naye mbali. Watu wengi hawajali hisia za wenzao. Na hakuna ukatili mbaya kama wa kihisia maana hauonekani kwa macho!
 
Hii habari nimekutana nayo Twitter, sijajua ukweli wake hasa ni nini lakini si mbaya niki-share nanyi

--
Anaitwa DJ Brownskin...

Alimrekodi mkewe akinywa sumu. Alimshawishi mwanamke huyo anywe sumu, kisha akamwita housegirl ili amnyweshe maziwa huku akiendelea kurekodi mambo yote.
Mmoja wa watoto wao wawili alionekana kwenye video.

'
He's called DJ Brownskin...

Recorded his wife taking poison. He prodded and encouraged an already tipsy woman to take poison, latter calling the housegirl to give her milk while still recording the whole thing.

At some point, one of their two children appears in the video

View attachment 2573846View attachment 2573847

--
View attachment 2573858
View attachment 2573863
View attachment 2573865
View attachment 2573866
View attachment 2573871
Vitu vingine mnatulaumu bure wanaume sasa mtu kaamua mwenyewe kujikatisha uhai wake mnahisi jamaa angefanya nini
 
Always a coin has got two sides, Wakati kuna watu wanapambania uhai kwa gharama kubwa,wengine wanautoa uhai wao wenyewe.MUNGU atuhurumie.
 
Yaani, we acha tu!
Tangu hapo mi huwa natafuta furaha yangu bila kutegemea mtu/watu fulani!
Na nikiona fulani ni kikwazo, nakaa naye mbali. Watu wengi hawajali hisia za wenzao. Na hakuna ukatili mbaya kama wa kihisia maana hauonekani kwa macho!
Ilikuaje mremb mpaka ukafikia hatua iyo?
 
Inaonekana wote walikuwa na pombe kichwani ingawa sio kwa kiasi kikubwa.
 
Nilishawahi kuwa na mahusiano ya namna hii, tena na Mwana JF wa humuhumu.

Niwaambie tuu this kind of relation ni ngumu sana ku handle na anytime unaweza jikuta behind bars. Ukiweza basi kitu inayoitwa mahusiano ama ndoa haitakusumbua maishani.

Huyo dada kwa sasa ni marehemu(RIP).
Embu lete hii habar tujifunze kidogo
 
Watu mnacomment juu juu tu... mtu mpaka amefikia kujiua ana vitu vingi sana kichwani vimemuelemea, ukisema ameamua mwenyewe is it okay kumuona mtu anakufa miguuni pako wakati ungeweza kumuokoa....unamwambia mtoto mpe maziwa wakati muda huo angeweza kumlazimisha anywe
Guys think as reasonable people
FEAR MEN
Ladies sasa tusing’ang’anie ndoa kama sehemu imekua too much walk away huwezi kua unakaa na mwanaume kama huyo halafu unasema nina mume....
Type za dj brown skin zipo nyingi huko majumbani ukianza kuona tu mtu hakujali he doesn’t care about things that troubles you achana nae huyo sio mama yako kwamba ni one and only
 
Wewe umemuona wa kumlaumu mwanaume tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hamna mtu anayetaka stress duniani, mwanaume akiwa pekeyake, anakuwa na amani na hamna madrama ndani ila mkija nyie mnataka mlete drama na stress halafu huyohuyo mwanaume unamtaka akusaidie na kukujali wakati nyie wenyewe mnawatukana na kuwadharau waume zenu na kuwaona kama vile mafala[emoji23][emoji23][emoji23] huku ukiona umemfanyia favor kuruhusu akuoe[emoji23][emoji23][emoji23], nyie wazima kweli. Muanze dharau, mumtukane na kumdharau mtu na kumpa majina yote huku mkimtenga kwakujikweza kuwa wewe ni bora kuliko mumewe. Makongamano na semina kibao za kujikweza na hapohapo kumdharau mmewe zimejaa kipindi hiki. Chakushangaza sasa, ukipata shida, mwanaume aje akusaidie chapu kama slave wako[emoji23][emoji23][emoji23]. Hivi kwani mwanaume hana moyo, mwanaume haoni anayofanyiwa, mwanaume haumii au mwanaume ni mtumwa wako. Dhana ya ndoa muiharibu wenyewe, leo useme usiolewe, unafikiri kuna mwanaume atakupinga, hata siku moja, kwasababu mmejikweza juu mno na kushusha position ya mme katika ndoa. Kama kujiua,wewe jiue tu maana mlishajitenga na dhana ya familia na kuwa miungu watu na kujiona wa thamani sana kuzidi mwenzako katika familia. Women, you're self centered people kuwahi kutokea ila hamjitambui, chakushangaza mkiwa na shida ndio mnataka huruma za mwanaume. Ishini matunda mliyoyapanda aisee. Acheni, kujifanya wanyonge wakati nyie ni sawa na mwanaume[emoji23][emoji23][emoji23]. Confused gender!
 
Watu mnacomment juu juu tu... mtu mpaka amefikia kujiua ana vitu vingi sana kichwani vimemuelemea, ukisema ameamua mwenyewe is it okay kumuona mtu anakufa miguuni pako wakati ungeweza kumuokoa....unamwambia mtoto mpe maziwa wakati muda huo angeweza kumlazimisha anywe
Guys think as reasonable people
FEAR MEN
Ladies sasa tusing’ang’anie ndoa kama sehemu imekua too much walk away huwezi kua unakaa na mwanaume kama huyo halafu unasema nina mume....
Type za dj brown skin zipo nyingi huko majumbani ukianza kuona tu mtu hakujali he doesn’t care about things that troubles you achana nae huyo sio mama yako kwamba ni one and only
Mi naona jiuwe tu kama umeamua, na dunia haitasimama hata nukta moja kisa umejiua, yaani umbebeshe lawama mwingine kwa uamuzi wako mwenyewe kuondoa uhai wako mwenyewe. Dj sasa yupo happy ana mademu wengine wapya no stress atabaki kumpost tu kinafki marehemu
 
Back
Top Bottom