Jamaa anamjali demu wake lakini demu anasema hana hisia na jamaa

Duh! Mzee unafaidi hadi naona wivu, vp mashine ya kunasia au Tokyo Tokyo?
 
Mkuu ni wewe au umemuazimisha mtu simu?
 
Kuna wanaume ving'ang'anizi sana nyie hamjui tu. Ndo hao wanaishia kuchunwa wapenzi wao hawana hisia na wao.
Jifunzeni kukubali mkikataliwa.
 
Kuna Jamaa alikuwa anakula Mke wa Mtu, mwenye mke alipogundua alikausha kama mwaka hivi ili jamaa ajisahau! Mwamba akatafuta Masela watatu na Mwanamke Mmoja, yule mwanamke ndio alikuwa kama chambo na alikuwa ni Malaya OG wale wa kujiuza kabisa alipopewa kazi ya kumnasa ilichukua kama wiki1 tu jamaa akajaa, akategeshewa dawa za kulevya kwenye Maziwa ya mwanamke, Nusu saa nyingi jamaa usingizi ukamkuta demu akawapigia wazee wa kazi, akapata Kifilo cha Maana huku yule mwanamke anakazi ya kumpiga picha tu, tena zilipigwa za style zote! baada ya tukio wadau wakaa kimya kwanza kama wiki mbili ili kumsikilizia muhanga kama atajisema au atakausha! kwa kuwa ni Tukio la Aibu mwamba akajikausha, picha zikasafishwa zikaenda kubandikwa kwenye vijiwe karibia vinne ambavyo mwamba huwa anapenda kuvimbia! hivi nnavyoandika hapa Mwamba amekimbia Mji na kwa sasa karudi kijijini kaenda kulima Mahindi.

MKE WA MTU SUMU.
 
Kama ana akili timamu ameelewa,
 
Huyo jamaa aliyebuni hiyo njia na uhakika asilimia 99 ni usalama wa taifa au ni mtu ambaye ana IQ 176..

Kwa mtu wa kawaida awezi fikilia utaalamu kama huo aiseeee..
Huyo jamaa ni genius

Sasa kuna watu watakuja hapa wataanza kusema jamaa alivyo fanyiwa sio fair imagine...
Ndo hapo naposemaga kuna watu wana mavi na matope kichwani..

Mkuu mke wa mtu ni sumu, hata asingekua sumu kama mtu unayejitambua kuwa na mipaka why unakula chakula halali cha mwenzio...

Mi sasa hv nikifatwa na mke wa mtu kwanza nampelekea kibio heavy vibao vibao alafu baada ya hapo namtafuta mumewe nae nachezeshea vitasa vitasa..

Alafu nawakalisha chini wote wawili nawakanda kisha nawapa somo kuhusu ndoa
 
Sample za mademu kama hao wapo wengi, ila ukichunguza kuna mwana/muhuni mmoja anagonga bila kutoa hata senti.

Siku hizi mapenzi ni hovyo unaweza ukawa mzuri kitandani ukapigwa chini na kibabu cheny kitambi chake ambacho kinakata mshiko ila kimoja chali. Unaweza ukajali sana kwa kutoa mshiko,ila kuna muhuni anagonga bila kutoa hata senti.
 
Kuna wanaume ving'ang'anizi sana nyie hamjui tu. Ndo hao wanaishia kuchunwa wapenzi wao hawana hisia na wao.
Jifunzeni kukubali mkikataliwa.
Kuwa mkweli demu gani amkatalie mwanaume mwenye hela? Kwenye hela mademu mnajipeka wenyewe na si sababu ya kupenda bali ni hela huku mkiwa na wahuni wenu.

Hii kitu nimesha ishuhudia hata huku makazini hasa kwenye mabank, utakuta demu kazi katafutiwa na kibopa, kapangishiwa na still hela anatumiwa, ila kuna muhuni anampenda ila huyo muhuni hana mkwanja. Akifikiria yy mwenyewe nidhamu ya matumizi hana na kiburi anapewa na huyo kipopa,anabaki kumuigizia tu ili aendelee kuvuna. Kwa mademu wa sasa ni watatu kati ya kumi wanaoweza kumkataa mwenye hela na haijalishi huyo jamaa ana umri gani.

Halafu siku hizi wengi wenu mnapresha kujitakia vikoba viwili, michezo miwili majina matatu kila mchezo, bado trend za mjini za fashion,simu,ndinga nk then mumkatalie mwanaume mwenye hela?
 
Yeah upo sahihi. Tufe njaa for what? Ni ujanja wako wewe kutambua kwamba hapa napendwa au napigwa. Sio shida zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…