Jamaa anamjali demu wake lakini demu anasema hana hisia na jamaa

Hizi fix sio kwamba mwanaume kinganganizi semeni ukweli mwanamke anapata hudumu anavumilia ata kama hana hisia na mwanaume.
Angekuwa anaweza kuvumilia asingeenda kuliwa na jamaa mwingine. Bila hisia havumiliki, na bila pesa havumiliki pia. Basi vurugu tupu
 
Huyo ndiye mwanamama

Ishi nao Kwa akili
 
Angekuwa anaweza kuvumilia asingeenda kuliwa na jamaa mwingine. Bila hisia havumiliki, na bila pesa havumiliki pia. Basi vurugu tupu
Suala la kuliwa na mwanaume mwengine hiio ni nature ata mume na mke wana hisia tuwards each other lakini kuonja nje muhimu
 
Kuna mmoja kapata VVU juzi alikuwa anajisifia kama wewe, alipotuonyesha demu, tukamwambia huyo dada mumewe ni mgonjwa, alipofuatilia akakuta kweli ni mgonjwa na alikuwa hataki kutumia dawa akisema hawezi kujichoresha eti anaenda kupewa dawa.

Jamaa alipoujua ukweli akaliuliza hilo pisi kali kuhusu ugonjwa, hilo pisi likasema nani ka kwambia, likamwambia hata wao hawajui maradhi ya huyo mumewe, wao waliambiwa ana kisukari sugu, na siyo VVU.

Jamaa alipoenda kupimwa kakutwa na maambukizi, katudanganya kaambiwa majibu yatatoka baada ya miezi 3 hadi 6.

Sisi tunamfahamu, kawa mpole ghafla, anakunywa pombe sio za kawaida, hataki kusema ukweli, habari za pisi kali hazisemi tena.

Ujanja umemuisha. Ana mke na watoto wawili wakubwa wako chuo.

Mnapolegezewa masharti muwe mnajiuliza pia kuhusu magonjwa. Unaweza kudhani umepata kumbe umepatwa.
 
Kuna mmoja sehemu ninayotafutia mkate aliwahi niambia nitashangaa sana ukiacha fursa hii, toto zuri kweli, nikasema wewe siwezi kuwa mfano wa uzembe kwa kukanyaga gridi ilihali ninauwezo wa kurukaa 🤣🤣🤣
 
Lakini angalia jamaa naye asije kukuweka katika MIXX Yako ya YAS
 


Harafu kuna watu humu wanakwambia tafuta pesa , Yaani ukishakua na pesa utamfanya MWANAMKE akupende na asichepuke 😂
 
Ulichokiandika hapa ni utoto, kuliko kumla huyo daemunna kujisifia? How about ungenmsave huyo bro kwa kumpa ukweli?

Aache kupoteza muda
 
Kuna mmoja sehemu ninayotafutia mkate aliwahi niambia nitashangaa sana ukiacha fursa hii, toto zuri kweli, nikasema wewe siwezi kuwa mfano wa uzembe kwa kukanyaga gridi ilihali ninauwezo wa kurukaa 🤣🤣🤣
Wengi huwa hawaoni mitego iliyowazi, huwa wanadhani wanapendwa/kuzimikiwa kwa fikra zao, kumbe wanapewa kidonge cha sumu ambacho kiko coated na sugar.

Macho yanakurubuni yanaziba na brain unakuwa mjinga kabisa, halafu wewe binafsi unajiona mjanja.

Unakuja kushtuka, it is a little too late.
 
Mara nyingi wengi wanaona ni bahati wakiambiwa mambo kama hayo, wanawake ni viumbe wajanja sana...kuna mwingine ni mke wa rafiki yangu kipindi hicho ananiambia unaniona mimi mpolee mimi ni motowa kuotea mbali, baadae nilikuja pata taarifa zake nikasemaa eeh kweli maneno yale alikuwa anamaanisha
 
Leo akili zangu nii mbovuu sanaaa
 
Ni vijana wasiojielewa ndio hu fall kwenye hizo cheap traps.

Na wengi hupoteza future zao kwa utoto utoto kama huo, anadhani anaiba mke wa mtu kumbe anajiibia maisha yake mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…