Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

Huyu hafai kuwa mke na ni muongo na hana msimamo, huyo kaka amwache tu aolewe huyo dada
 
Kama ni kuoneshana kuwa hamtaki upumbavu

1.Jamaa inabidi kwa gharama yoyote agongewe mkewe na ifanyike hila ajue.

2.Dogo amuache demu aolewe, ila demu kama yuko upande wenu ahakikishe kuwa anaonesha kwa vitendo kuwa haitaki ndoa ya kulazimishwa, ahakikishe huyo jamaa anakosa amani( wanawake wanajua).

Kama ushauri wa kawaida;
Dogo akaushe kwa kuwa ndoa ya kulazimisha wakati wazaz wa huyo demu hawataki ndoa haitakuwa na baraka kiviiile ataishi maisha magum sana ya kuwa prove wrong hao wazazi.
Ajikaze asonge mbele.
 
Familia ya njaa njaa hiyo...na unajua njaa sio rafiki wa ufahamu. ..watakuja zinduka too late majinga hayo
 
Kama ni kuoneshana kuwa hamtaki upumbavu

1.Jamaa inabidi kwa gharama yoyote agongewe mkewe na ifanyike hila ajue.

2.Dogo amuache demu aolewe, ila demu kama yuko upande wenu ahakikishe kuwa anaonesha kwa vitendo kuwa haitaki ndoa ya kulazimishwa, ahakikishe huyo jamaa anakosa amani( wanawake wanajua).

Kama ushauri wa kawaida;
Dogo akaushe kwa kuwa ndoa ya kulazimisha wakati wazaz wa huyo demu hawataki ndoa haitakuwa na baraka kiviiile ataishi maisha magum sana ya kuwa prove wrong hao wazazi.
Ajikaze asonge mbele.
 
Mwanamke kafanya uamuzi sahihi 100% Hakuna uchumba wa miaka 4 ni ubabaishaji. Halafu kama yeye amepanga alishindwa nini kuoa wakaendelea kuishi hapo wakimalizia nyumba? Haimaanishi huyo dada kapata mume Bora anaweza achwa baadae ila sio issue angalau alichagua mtu anayetaka kumuoa.
 
Hio vita si ya mchezo[emoji1787][emoji1787]

Damu inaweza mwagika hapo kisa MBUNYE NA HELA
 
Wanawake mna roho mbaya sana
 
Wanawake mna roho mbaya sana
Kuna roho mbaya inayokuta ya mtu kukuweka uchumba miaka 4? Akukute Una miaka 25 hadi ufikishe 30 hakuoi! Huyo dada kafanya Tu chaguo la hatari ila kuendelea na maisha yake Yuko Sawa.
 
Mnatafuta kuvaa shera kuondoa nuksi na kuwatambia wenzenu ndio maana tunawabadirikiaga ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…