Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

Jamaa anamuoa mchumba wa rafiki yake kama mke wa pili

Hii chai umeweka pilipili nyingi sana, wapelekee wahindi
Soma post yangu hapo juu, Siwezi kuleta masihara KWENYE vitu serious Kama hivi.
Binafsi Naongea nnachokijua 100%
 
Alijaza ya kwake mafuta ya 200 akaacha kalipia na ya 150 kesho akipita wamjazie.

Iyo ya kwake alokwenda nayo sheli tunaita TU Ni ya kwake kwasababu anaimiliki yeye,

ila anayeitumia zaidi ni uyo mwanamke wake na inalala Kwenye uzio wa uyo mchumba wake kila siku.
Yeye Anatumia Mara moja Moja wikendi anapokua amepumzika kwa uyo mwanamke wake.

Yeye anatumia zaidi pickup hizi ndogo ndogo ziko Kama kirikuu ila Ni kubwa kubwa kiasi za nissan (jina limenitoka) Kwenye mizunguko yake ya kila sikU.
😂😂😂😂😂😂🤣
 
Update......
Mda huu shoga Ake katwambia Yuko kwao ila anaonekana Yuko normal kabisa anaendelea na shughuli zake.

Sisi huku tumeamua kuachana Naye, na dogo usiku wa Leo atalaa hapa hapa kwangu.

Kesho nayo tutaangalia tunaliwekaje.

Tunafikiria kuwahusisha wazazi wake dogo Ila tuone tunainusuru vipi hili suala, ila dogo kakataa kata kata hataki wazazi wake wajue chochote kinachoendelea.

Nawaza vitu vingi Sana,
Usingiz na uchovu wote umekata.

Sijui niamue lipi khs hili.
 
Mwanamke kafanya uamuzi sahihi 100% Hakuna uchumba wa miaka 4 ni ubabaishaji. Halafu kama yeye amepanga alishindwa nini kuoa wakaendelea kuishi hapo wakimalizia nyumba? Haimaanishi huyo dada kapata mume Bora anaweza achwa baadae ila sio issue angalau alichagua mtu anayetaka kumuoa.
Mwajuma paka shume
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Unacheka ila unatakiwa kujua sijawai kuleta Uzi wowote Humu wa kuomba ushaur hata siku moja.

Siko hapa kutafta huruma au kufurahia kijiwe.

Na Kama unanifahamu vizur,
Sijawai kuleta nyuzi za kitoto kitoto Humu.

Am very serious with this brother, Naomba na wewe ulichukulie serious na kwa uzito wa Aina yake.

JF Ni kisima cha maarifa mkuu
 
Uyo mwanamke bado yuko hai adi saivi?


Papuchi ina nguvu
Mkuu,
afu mwanamke mwenywe anayezua hili balaa ukimuangalia wa kawaida Sana afu mpole ukimuona hata uwezi amini.
 
Afu wanawake Sijui huwa mnawaza Nini,

Najaribu kuwaza huyu binti kafata nini kwa jamaa maana hata kiuchumi dogo alimpita mbali brother.

Afu ukizingatia jamaa tayar alkua na MKE wake na watoto watano wakubwa kabisa.

Afu anamuacha jamaa Alie single, anaenda kuingilia Ndoa ya Watu na kwenda kuolewa kama MKE wa pili kwa jamaa mwenye MKE na watoto watano.

Natafakari sana Sipati majibu.[emoji848]
Akili za wanawake huwa wanazijua wenyewe

Huongwa na hisia sio uhalisia

Ndio wanawake na wanaume hata siku moja hawaweza kuwa sawa

Pamoja na campaign za mafeminists nature huwa inawakata fasta sana .

Liverpool VPN yuko sahihi kabisa
 
Akili za wanawake huwa wanazijua wenyewe

Huongwa na hisia sio uhalisia

Ndio wanawake na wanaume hata siku moja hawaweza kuwa sawa

Pamoja na campaign za mafeminists nature huwa inawakata fasta sana .

Liverpool VPN yuko sahihi kabisa
Yaan mkuu Kuna vitu unavitafakari hata haviingii akilini
 
Aisee nimesoma kama movie vile kumbe kweli, huyo dada hajamfanyia vizuri kabisa mwenzake yaani katema bigijii kwa karanga za kuonjeshwa shauri yake, tena anaenda kuolewa mke wa pili kweli🤔 Aargh siku atakiona kisanga cha mke mkubwa ndiyo atakumbuka umuhimu wa kumvumilia mwenzie ili waje kuoana awe mke halali kwenye ndoa yake peke yake.

Ushauri mi naona huyo kaka aendelee tu na maisha yake, aachane na huyo binti hana msimamo na hana shukrani licha ya yote mazuri aliyofanyiwa, angekuja kumsumbua huko baadaye. Ni kipindi kigumu ila with time he will be fine. Mpeni company asikae mwenyewe asijekujidhuru.

Ila wewe dada wewe umeshindwa kuwa na huruma hata kidogo kwa mtoto wa mwanamke mwenzio🙌
 
Brother mwambie dongo alie kadri awezavyo let him cry Sana tu, lakin hakikisheni abaki alone maana akiwa peke yake anaweza kufanya chochote. Please jaribu kuwa unamuuliza kuwa anampango gani kwa hilo liliotokea hakikisha anakushilikisha alafu jaribu kumuexpose kwenye sehemu zenye watu wengi yaani ajichanganye na watu hii itamsaidia sana tu. Mwambie akubari kile kilochotokea.
Na nikuombe please msimtafute huyo Binti maana mnataka kutengeneza nuclear bom.
Kitakachokuja kuwa tokea kwa kulazima yatakua majuto makubwa sana.
That girl she is a pathological liar a big liar.
Msimpe nafasi and Nina huakika kabisa huyo binti wazazi wake wako very innocent kabisa trust me utakuja kulifahamu hili baadae. Amewalazimisha wazazi wake na ndugu pia kuwa yeye ndio mwenye uamuzi wa mwisho.
Pls stay away from her she is a poison
Shukran Sana mkuu[emoji120]
 
Update.....

Tulipanga leo saa Moja kamili tukutane nyumban kwangu na uyo binti pamoja na dogo. Tukampigia Ila akawa hapatikani.

Baadae Kwenye saa 1 na nusu,
Kaja kupatikana akasema anakuja sawa tumsubiri anakuja.

Sahivi tunampigia simu haipatikani.

Tumebadili mpaka namba, tunapiga ila bado hapatikani.

Tumejaribu kupigia shoga Ake wa karibu, mama P akamcheki kwake.

MDA si mrefu kasema kafika kwake hayupo,

Kasema anaelekea kwao kuona Kama atampata.

BADO TUNAMSUBIRI[emoji17]

Mnahangaika nae wa kazi gani??? Mwacheni aende.
 
Aisee nimesoma kama movie vile kumbe kweli, huyo dada hajamfanyia vizuri kabisa mwenzake yaani katema bigijii kwa karanga za kuonjeshwa shauri yake, tena anaenda kuolewa mke wa pili kweli[emoji848] Aargh siku atakiona kisanga cha mke mkubwa ndiyo atakumbuka umuhimu wa kumvumilia mwenzie ili waje kuoana awe mke halali kwenye ndoa yake peke yake.

Ushauri mi naona huyo kaka aendelee tu na maisha yake, aachane na huyo binti hana msimamo na hana shukrani licha ya yote mazuri aliyofanyiwa, angekuja kumsumbua huko baadaye. Ni kipindi kigumu ila with time he will be fine. Mpeni company asikae mwenyewe asijekujidhuru.

Ila wewe dada wewe umeshindwa kuwa na huruma hata kidogo kwa mtoto wa mwanamke mwenzio[emoji119]
Dogo kawa Kama kachizi flan hivi, tangu kafika hapa home hata KWENYE Kochi hajakaa.

Analia TU chini Kama mtoto mdg
 
Mmmh! Sasa kama aliweza kumpangia bibie nyumba nzima ikaweje sasa ashindwe kuishi naye kwanza kwenye hizo nyumba za kupanga?
Dah! Jamaa huwez Amin alkua anamgharamia Yule mwanamke utadhan mke wake wa Ndoa.

Jamaa yangu Ni form four, ila alipambana kumlipia Ada mpaka binti uyu kamaliza chuo kikuu.

Kibaya Zaid ata hapo sheli anakofanya kazi uyu binti, jamaa ndo kamuunganisha na ndo mdhamini wake.

Binti kapangiwa nyumba nzima, anaishi kwa Raha Sana.

Jamaa alkua analipa kila kitu khs mahitaj yake yote ya nyumbani mpaka dharula za familia yake.

Gari anayotembelea kamnunulia uyu jamaa,
(Tena nilishiriki ipasavyo kwenye mchakato mzima wa kuiagiza mpak kuitia mkononi)

mafuta juzi juzi TU tunatoka gym alipitia she'll kumuwekea ya 350,000 kwa ajili ya mizunguko yake.nikishuhudia mwenyewe.

Mshahara anaolipwa sidhan hata Kama uwa anaugusa kabisa.

Kwakweli,
alichomfanyia jamaa Ni zaidi ya unyama[emoji26]
 
Aachane na huyo mwanamke apambanie maisha yake

Mimi sina imani na wanawake kabisa [emoji1787] yaani siwaamini kabisa ,
 
Aachane na huyo mwanamke apambanie maisha yake

Mimi sina imani na wanawake kabisa [emoji1787] yaani siwaamini kabisa ,
Yaani unawaza kabisa Kama kaweza mtendea hivi Ni binadamu gan uyu mwenye moyo wa kikatili namna Hii[emoji848]
 
Back
Top Bottom