Jamaa anasema Zanzibar ilikuwa inamiliki ukanda wa Pwani

Mombasa ilikuwepo hata kabla Tanzania haijabuniwa na mzungu, halafu nakwambia Mwarabu hana claim yoyote Afrika maana kawakuta mababu zetu, na kama aliuziwa jinsi anavyodai, yeye pia alimuuzia mzungu na kutia hela mfukoni, hana chake.
 
Kwa hiyo bara ni aridhi ya mjerumani sio?
ilikuwa ya mjerumani tukapewa sisi kuimiliki kama ilivyo, pamoja na ukanda wote wa pwani ambao sultan alipoishiwa pesa aliupiga bei.
 
Uzi huu utawagundua wenye mawazo ya kitumwa

Ova
 
Nenda Makumbusho ya kanisa KATOLIKI pale Bagamoyo, utakuta barua ya Sultani wa Zanzibar .ikionesha jinsi alivyoligawia Kanisa eneo na kusisitiza HAO NI WATU WAZURI NA RAFIKI ZAKE.
 
Utapeli huu hamna mkataba walikalia kimabavu kama kule Palestine..Sisi ukanda pwani ni zanzibar tunataka kurudi kwetu sio kukaa na wala ugali wa bara.
 
Utapeli huu hamna mkataba walikalia kimabavu kama kule Palestine..Sisi ukanda pwani ni zanzibar tunataka kurudi kwetu sio kukaa na wala ugali wa bara.
kwahiyo mimi niliyezaliwa na naishi dsm, ni mzanzibar? unaona msivyo na uelewa? umeshaingiza na palestina. kwanza aliyekuwa anamiliki ni mwarabu, sio ninyi. aje mwarabu tuongee kama na sisi ni wazanzibar au la.
 
Sasa waliuziwa wajerumani na sio nyinyi watanganyika.
wajerumani walipasisha kwa waingereza baada ya versailies treaties, waingereza walipotupatia uhuru wakatupatia sisi. imeisha hiyo.
 
kwahiyo mimi niliyezaliwa na naishi dsm, ni mzanzibar? unaona msivyo na uelewa? umeshaingiza na palestina. kwanza aliyekuwa anamiliki ni mwarabu, sio ninyi. aje mwarabu tuongee kama na sisi ni wazanzibar au la.
Mjuu wa yesu na zenji wapi na wapi? waambie wakimbzi wazazi wako wakupeleke bara kwenu.
 
Sultan ni mzanzibari kama wazanzibari wa sasa. Kwahiyo cha Sultan ndicho cha wazanzibari.
sasa mbona wakati wa revolution 1964 (3 years after sisi tumepata uhuru) hamkurevolt against us? sisi tulishamiliki miaka 3 hata kabla ninyi hamjajua maana ya uhuru.
 
Amedai "ilikuwa mali ya Zanzibar " ni kweli kwa sababu hata wewe unakiri kwamba Sultani aliuza kwa wajerumani.Sasa atauzaje eneo ambalo halikuwa kwenye milki yake?Au kiswahili kimekuwa kama kiingereza.Lugha ngumu?
 
Wajerumani na hao waarabu wote ni wageni watu asilia wa Zanzibar ni wamatumbi na wengineo toka Bara, wakianza ujinga tutarudi upya visiwani kuondoa masalia ya huyo Sultani wao
 
Kwanza huyo Sultan alipataje kumiliki pwani ya EA ya watu weusi ilihali yeye wakuja?
 
Mombasa ilikuwepo hata kabla Tanzania haijabuniwa na mzungu, halafu nakwambia Mwarabu hana claim yoyote Afrika maana kawakuta mababu zetu, na kama aliuziwa jinsi anavyodai, yeye pia alimuuzia mzungu na kutia hela mfukoni, hana chake.
Jifunze kwanza Kiswahili. Mombasa ilikuwepo kabla hata Tanzania haijabuniwa na Wazungu unaaminisha nini?Tanzania ilibuniwa na wazungu lini?Unajua maana ya neno kubuniwa?
 
Amedai "ilikuwa mali ya Zanzibar " ni kweli kwa sababu hata wewe unakiri kwamba Sultani aliuza kwa wajerumani.Sasa atauzaje eneo ambalo halikuwa kwenye milki yake?Au kiswahili kimekuwa kama kiingereza.Lugha ngumu?
Mali ya Sultan alipataje kulimiliki kama siyo alipora kwa Wazaramo na wengine wa pwani. Kuna haja ya mapinduzi mengine kuondoa kabisa masalia ya Sultan kama alivyoondolewa mzungu
 
Mali ya Sultan alipataje kulimiliki kama siyo alipora kwa Wazaramo na wengine wa pwani. Kuna haja ya mapinduzi mengine kuondoa kabisa masalia ya Sultan kama alivyoondolewa mzungu
Masalia ya sultan ndio akina nani?Usije kuwa unakurupuka tu hujui unaloandika?
Zanzibar ina wakazi wake na hakuna yeyote anayeweza kulibadilisha hilo.
 
sasa mbona wakati wa revolution 1964 (3 years after sisi tumepata uhuru) hamkurevolt against us? sisi tulishamiliki miaka 3 hata kabla ninyi hamjajua maana ya uhuru.
Unalazimisha hata tofauti huoni 😛 , ukanda pwani ndugu zetu ni zanzibar sio nyie wala ugali.
 
Masalia ya sultan ndio akina nani?Usije kuwa unakurupuka tu hujui unaloandika?
Zanzibar ina wakazi wake na hakuna yeyote anayeweza kulibadilisha hilo.
Wakaazi wa Zanzibar ni watu weusi kama ambavyo ccm wamekuwa wakisema. Machotara na Waarabu siyo wenyeji wa Zanzibar
CCM wenyewe wamekuwa wakisema hili wazi wazi. Hamuelewi nini?
 
Kusema unaweza kusema na mabango ukabeba lakini haizuii kwamba wanzazibari wapo kila aina.Waarabu,washirazi,, wahindi wamakunduchi, wapemba ,wangoni, wanyamwezi.Ukipenda penda ukichukia chukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…