Jamaa mwenyewe kasema Nairobi kumejengwa kushinda Dar es Salaam

But the other time you declared to be one of them.

Bro before we go further, I would like to ask you to tender for authorities to substantiate your arguments.
I declared to be one of who?
 
ukimaliza kula githeri uende kunya halafu hayo matako usafishe na maji maana hapo nairobi mnatembea na mavi kwa matako eti mnajiita wazungu mnatumia toileti papers tu, pumbavu
CCM hoyeee[emoji1787][emoji1787]
Mataga katika ubora wake, hapo anasubiria kiongozi wa UVCCM ampe mwongozo wa jinsi wa kuendesha ubongo wake
 
CCM hoyeee[emoji1787][emoji1787]
Mataga katika ubora wake, hapo anasubiria kiongozi wa UVCCM ampe mwongozo wa jinsi wa kuendesha ubongo wake
niko busy na mechi ya simba na yanga nikimaliza nitakuja kubishana na wewe later
 
Lissu kw sasa ndio mpinzani mkubwa tanzania, we ukitaka lia sasa..
Sijaona nchi karne hii ya sasa opposition leader anaishi km yatima, hyo utakuta katika banana republics tu km vile tz, somalia
Hahaha. Ni kweli. Jamaa anaishi ni kama yatima. Baada ya kumwagiwa marisasi kama ishirini hivi na baada ya kuibiwa kura mchana peupe, jamaa sasa ni mkimbizi Belgium.
Cc eliakeem
 
Watu flan wanahisi kujinyonga⚰️💉💉🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃
 
y
Hamna haja ya matusi. Tuzungumze tu kiutu uzima.
yaani mtu anitukane mimi ninyamaze, unajua katika majuwakaa yote hili hapa huwa na li avoid sababu ya ubishani wa kijinga kuhusu majumba ya dsm na nairobi,ila hii nimechangia sababu huwa nashinda you tube kuangalia videos za hawa travellers ,trust me kwa style ya sabatical bado sana kwa mfano dsm alikuwa anatoa conclusions za uongo hata kutaja prices za apartments
Anyway msubiri afike ndanindani huko nairobi hopefully hawatamuibia kamera yake hiyo
 
Ata Suluhu alikuja Nai dakika chache tu Akasema ni Kama London✊🔥🔥Tafakari hayo pia
 

Emnbu tuelewane kitu kimoja wakenya dar es salaam na nairobi ni vitu viwili tofauti, historically, geographically,culturally....kama arusha ingekuw na sky scrappers nyingi ungeweza ku i compare na nairobi, dar es salaam inaendana mengi sana na mombasa style ya waarabu kama zile middle east cities
city centre ya dsm walivunja majengo mengi ya kizamani(kiarabu)ndipo sasa siku hizi kuna sky scrappers lakini nyingi ziko pembeni ya mji na ndipo tunapotaka, CBD ya nairobi iko vizuri sana majengo mengi marefu yamekusanyana sehemu moja ni rahisi kuyaona
Kampla wao mji uko kwenye kampala road tu pembeni ni shida, nairobi pembeni kumejaa big slums
 
Lissu kw sasa ndio mpinzani mkubwa tanzania, we ukitaka lia sasa..
Sijaona nchi karne hii ya sasa opposition leader anaishi km yatima, hyo utakuta katika banana republics tu km vile tz, somalia

Labda mpinzani mkubwa kwenu.

Hana jipya yule. A poor attention seeker.
 
Hakuna mzungu aliyeshadadiwa hapo[emoji1787] au basi km unaumia sana tuonyeshe videoa akisema dar iko verry kuliko nairobi
Wewe hata nikikuuliza mzungu ni nani sijui kama utaweza kunijibu.

Mimi kwangu New York City, kama kweli unataka kushindanisha miji niambie tushindanishe Nairobi na New York City.
 
Hapa umegonga point.
 
sabattical soon ataingia kibera na mathare , msijali nita upload haraka sana hapahapa
In the mean time enjoy hii clip ya DREW BRISKY NDANI YA THE AFRICA'S BIGGEST SLUM..hahahahahaha WAVIVU WA KIBERA WANATUMIA HADI FLYING TOILETS

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…