comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Lini?Muda ukifika tutaruka nao usijali mkuu.
Hadi huku watakuepo? HapanaUzuri wake Epstein files bado hazijaachiwa tu
Mkuu naiskia sasa hivi watumishi mnapata posho nje nje safari kama zoteSema viongozi wa Umma, Sio watumishi.
Usije fanya watu waanze kutudai madeni yao bure sisi Watumishi wa Halmashauri ya kakonko
Nyie sasa ndio waiziSema viongozi wa Umma, Sio watumishi.
Usije fanya watu waanze kutudai madeni yao bure sisi Watumishi wa Halmashauri ya kakonko
Mkuu naiskia sasa hivi watumishi mnapata posho nje nje safari kama zote
Nyie sasa ndio waizi
Aiseeee inasikitisha Sana.Huyu ni jamaa yangu wa mda sana, anafanya kazi bank kubwa hapa nchini, pia ana washkaji zake kwenye bank zingine.
Leo kanishaningaa sana nilipopigwa na butwaa baada ya kuona mtumishi wa serikali anapush Bentley kwenye shughuli zake za kikazi, akaniambia broo "kwasasa watumishi wa gavoo wana mpunga mrefu kuzidi hata hao watu maarufu unaowajua!"
Huyo DAB akaunti zake zina mpunga mrefu kuzidi hata msanii mkubwa 💎
Ananiambia kifua kipana wa Rufiji kwasasa ni levo za kina GSM.
Kuhusu boss wa Timu ya mpira ananiambia huyo ni kama alivyokua Mengi miaka ile.
Kuna watu akaunti zao zote ukijumlisha zinasoma hadi T3
Hivi kwanini watu wengi ni alarmists na waongo? Huwezi ku-view account za watu wengine kwenye benki tofauti tofauti hata uwe branch manager au mfanya kazi wa benki hiyo.......acheni kukatisha watu tamaa hata Raisi 3trioni anaosikia tu kwenye kusoma bajeti hajawahi kuiona.Huyu ni jamaa yangu wa mda sana, anafanya kazi bank kubwa hapa nchini, pia ana washkaji zake kwenye bank zingine.
Leo kanishaningaa sana nilipopigwa na butwaa baada ya kuona mtumishi wa serikali anapush Bentley kwenye shughuli zake za kikazi, akaniambia broo "kwasasa watumishi wa gavoo wana mpunga mrefu kuzidi hata hao watu maarufu unaowajua!"
Huyo DAB akaunti zake zina mpunga mrefu kuzidi hata msanii mkubwa [emoji184]
Ananiambia kifua kipana wa Rufiji kwasasa ni levo za kina GSM.
Kuhusu boss wa Timu ya mpira ananiambia huyo ni kama alivyokua Mengi miaka ile.
Kuna watu akaunti zao zote ukijumlisha zinasoma hadi T3
Ah sio kweli kakaHela ya wizi haijawahi kuwa tamu.
Wewe unamuona kabisa White Mzee wa Meno Yote Nje ni wa kukosekana mule?Hadi huku watakuepo? Hapana
Acha utetezi usiokuwa na kichwa, mbogamboga ni majizi tu.Hivi kwanini watu wengi ni alarmists na waongo? Huwezi ku-view account za watu wengine kwenye benki tofauti tofauti hata uwe branch manager au mfanya kazi wa benki hiyo.......acheni kukatisha watu tamaa hata Raisi 3trioni anaosikia tu kwenye kusoma bajeti hajawahi kuiona.
Kushiriki kuiba uchaguzi sio wizi? Tena nyie ndio waizi wa ajabu maana mnaibishwa halafu nyie mnanuka njaa.Mwalimu ataiba nn sasa, Chaki au ?