Joshua Mbezi JF-Expert Member Joined Oct 18, 2024 Posts 1,994 Reaction score 4,446 Feb 14, 2026 #21 Ukute na Ile 2 B iliingia kwenye koti la mtu Kisha now kontent kirieta wanaambiwa walipie lesen kwa 50k
Ukute na Ile 2 B iliingia kwenye koti la mtu Kisha now kontent kirieta wanaambiwa walipie lesen kwa 50k
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,739 Reaction score 14,941 Feb 14, 2026 #22 Cannabis said: Mkuu naiskia sasa hivi watumishi mnapata posho nje nje safari kama zote Click to expand... Serikali haijui kuthibiti matumizi yake ndio maana kila leo wako nje na ndani kukopa [ hati fungani kila kukicha] na kuwaongezea maumivu wananchi kwa kodi zisizoeleweka!! This is a very irresponsible government which has to be replaced!
Cannabis said: Mkuu naiskia sasa hivi watumishi mnapata posho nje nje safari kama zote Click to expand... Serikali haijui kuthibiti matumizi yake ndio maana kila leo wako nje na ndani kukopa [ hati fungani kila kukicha] na kuwaongezea maumivu wananchi kwa kodi zisizoeleweka!! This is a very irresponsible government which has to be replaced!
R Raskazimi JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 1,205 Reaction score 1,407 Feb 14, 2026 #23 Wasimsahau funaku anashida humu na Sony galaxy yake
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Feb 15, 2026 #24 Kawaida... Cc: Mahondaw