Jamaa yangu ananitesa kisa alinitafutia kazi, ni haki?

Jamaa yangu ananitesa kisa alinitafutia kazi, ni haki?

Hata wabongo wenzetu wengi tu huwa wanatusaidia na huwezi ukasikia maneno maneno. Tatizo kuna watu wako vizuri kiuchumi ila bado wana vijitabia vya kimaskini. Kuna mtu alikuwa anamlaumu sana ndugu yake kuwa kamtupa wakati yeye ndo alimsomesha.. siku moja nikataka kujua alimsomesha chuo gani nikashangaa kumbe ni u-secretary kwenye hivi vyuo vidogo vya mtaani. Na hata kutoboa ilitokana na huyo ndugu kuolewa na tajiri. Na sio cheti chake cha usekretari.
Huyo mtu wa aina hiyo ana ugonjwa unaoitwa financial illness
 
Back
Top Bottom