The dumb Professor
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 852
- 1,978
- Thread starter
- #241
Ni kukubali ila kishingoupandeNajua fair ni kama kukubali au kuna sehemu nakosea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kukubali ila kishingoupandeNajua fair ni kama kukubali au kuna sehemu nakosea
Mzee we acha tu. Kwahyo unasema nimpotezee mazima kama simjui?Usituchoshe na upumbavu wako. Yeye ndo kakuajiri hapo? Ndiyo mwenye kampuni kwamba usipompa hela atakufukuza kazi?
Wee [emoji23][emoji23][emoji23]Aki yaan
Basi ndo uwe unampa hela huyo jamaa.Siwez acha, nshaanza kuzoea hela
Wasalaam,
Nilikuwa down bad, yaani nimepigika kinoma, yaani apeche alolo, yaani mbombo ngafu, yaani moja haikai mbili haikai, Yani nmechina mweupe pee. Kula ya mashaka, kulala kama ndege. Ila Kuna huyu jamaa angu tulisoma ote Olevel akaniconnect kwenye ajira inalipa fresh sio haba.
Sasa tatizo, imekuwa kama kero, Kila siku anajimwambafy kuwa bila yeye nsingetoboa anasema natakiwa niwe namshukuru kila mshahara ukitoka. Tukienda out Kila siku Mimi tu ndo anataka nimnunulie bia. Wote tuna mshahara ila yeye anataka na shida zake Mimi nimtatulie.
Mimi naona imekuwa kama manyanyaso sasa.
Nifanyaje?
unazingua ujue.Wee [emoji23][emoji23][emoji23]
Wadogo zetu tukiwapa connection za kazi mkumbuke japo fadhila japo sio haki Kuna muda tunawaitaji hata mtutembelee nyie mnakua busy mnasahau mlikua mnashinda sebuleni kugombea remote na watoto wetu...Wasalaam,
Nilikuwa down bad, yaani nimepigika kinoma, yaani apeche alolo, yaani mbombo ngafu, yaani moja haikai mbili haikai, Yani nmechina mweupe pee. Kula ya mashaka, kulala kama ndege. Ila Kuna huyu jamaa angu tulisoma ote Olevel akaniconnect kwenye ajira inalipa fresh sio haba.
Sasa tatizo, imekuwa kama kero, Kila siku anajimwambafy kuwa bila yeye nsingetoboa anasema natakiwa niwe namshukuru kila mshahara ukitoka. Tukienda out Kila siku Mimi tu ndo anataka nimnunulie bia. Wote tuna mshahara ila yeye anataka na shida zake Mimi nimtatulie.
Mimi naona imekuwa kama manyanyaso sasa.
Nifanyaje?
Ntakuja braza, ukihamia kibaha lakiniWadogo zetu tukiwapa connection za kazi mkumbuke japo fadhila japo sio haki Kuna muda tunawaitaji hata mtutembelee nyie mnakua busy mnasahau mlikua mnashinda sebuleni kugombea remote na watoto wetu...
Hapo kiluvya ndio nimeanza msingi ila Nisha zoea huku kwenye apartment....Ntakuja braza, ukihamia kibaha lakini
No way out. Naassume hata wewe unampa pesa jamaa ila siyo kwa kupendaNi kukubali ila kishingoupande
Mwambie amshukuru mungu maana duniani kila binadamu kaletwa ili amuinue mwezake au amvushe mwezake kwa hiyo usiumie sana kichwa kwa hilo.Wasalaam,
Nilikuwa down bad, yaani nimepigika kinoma, yaani apeche alolo, yaani mbombo ngafu, yaani moja haikai mbili haikai, Yani nmechina mweupe pee. Kula ya mashaka, kulala kama ndege. Ila Kuna huyu jamaa angu tulisoma ote Olevel akaniconnect kwenye ajira inalipa fresh sio haba.
Sasa tatizo, imekuwa kama kero, Kila siku anajimwambafy kuwa bila yeye nsingetoboa anasema natakiwa niwe namshukuru kila mshahara ukitoka. Tukienda out Kila siku Mimi tu ndo anataka nimnunulie bia. Wote tuna mshahara ila yeye anataka na shida zake Mimi nimtatulie.
Mimi naona imekuwa kama manyanyaso sasa.
Nifanyaje?
Cha kukushauri hapo, tanua mianya ya kukuingizia kipato mf fungua biashara, chukua hata bajaji za mkopo ndani ya muda mfupi chombo kinakuwa chako 100% .Wasalaam,
Nilikuwa down bad, yaani nimepigika kinoma, yaani apeche alolo, yaani mbombo ngafu, yaani moja haikai mbili haikai, Yani nmechina mweupe pee. Kula ya mashaka, kulala kama ndege. Ila Kuna huyu jamaa angu tulisoma ote Olevel akaniconnect kwenye ajira inalipa fresh sio haba.
Sasa tatizo, imekuwa kama kero, Kila siku anajimwambafy kuwa bila yeye nsingetoboa anasema natakiwa niwe namshukuru kila mshahara ukitoka. Tukienda out Kila siku Mimi tu ndo anataka nimnunulie bia. Wote tuna mshahara ila yeye anataka na shida zake Mimi nimtatulie.
Mimi naona imekuwa kama manyanyaso sasa.
Nifanyaje?
Hii ya bajaji naomba mchanganuo zaidi mkuu...Yani nakopaje, riba shingapi na itanifaidisha vipi hiyo bajaji?Cha kukushauri hapo, tanua mianya ya kukuingizia kipato mf fungua biashara, chukua hata bajaji za mkopo ndani ya muda mfupi chombo kinakuwa chako 100% .
Ukitegemea kazi basi jua fika jamaa hashindwi kukuharibia muda wowote.
Kwa jibu hili japo sijasikiliza upande wa pili ila inaonesha wazi mwenye matatizo ni wewe pia wewe ni mchoyo wa fadhila kuna vitu unavificha ficha.Kwanza Mimi skumuomba kazi, yeye ndo alinitafuta from the blue...afu saiv ndo imekuwa kama deni
Ndio maana hamsaidiki .Dah uyu jamaa anataka niwe namuabudu sasa
Kwa jinsi nilivyosoma replies zake nimegundua tatizo lipo kwake na sio kwa huyo mshikaji wake.Wewe una tabia ya uchoyo na ubinafsi. Mtu mwenye busara angemsitiri jamaa yake na sio kuja kuandika uzi hapa. Wewe kama unashindwa ku-handle suala dogo kama hilo hata hiyo ajira unaweza ukaipoteza. Ninaungana na mwanauvinza kwamba uache kazi ili kumkomesha