Jamaa yangu ananitesa kisa alinitafutia kazi, ni haki?

Jamaa yangu ananitesa kisa alinitafutia kazi, ni haki?

Niconnect hapo kazini.

Kila mwisho wa mwezi nitakua nakupa 300K uwe unampa jamaa
 
Ye si atheist
Ss akae Kwa kutulia ndo atajua Kuna Mungu na miungu na huo u atheist utamuisha atachagua upande,[emoji1787]
Hivyo vitisho tu mbona hao theists kila sku tunaona wanateseka mpka wanakufa na hawana msaada ?
 
Mtafutie demu nzuri na pesa za lodge + chakula.
Mwambie baada ya hapa tusijuane na akiendelea kukusumbua tafadhali naomba yake nidili nae.
 
Mkienda kula beer bar,weka sumu kwenye beer yake akienda chooni,sumu inayouwa polepole lakini! Baada ya miezi 5,utaachana na huu ujinga!
 
Wewe unaweza kufanya hivyo?.Kila mtu hupata riziki kupitia mtu ningekuwa mimi ningemkataa mazima akitaka hio kazi aniharibie ingawa sio rahisi kama anavyodhani labda angekua yeye ndio kamuajiri sawa.
Ningeweza ikiwa nimesaidiwa kupata kazi. Si amkatae kibabe aonee sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hujui taratibu zakumfukuza kazi mtu wewe huko private, wakikuambia una underperform haitakiwa ufukuzwe kazi, inatakiwa upewe training, Kisha baada ya training unajaza training report kuonyesha umefundishwa Kisha umeelewa na unasign, Kisha baada yahapo unapewa target zakufikiwa Kila mwezi, Kisha unapimwa Kwa miezi isiyopungua sita. Kisha baada yahapo kama upo underpormance unapewa evaluation letter Kwa robo, na nusu ya mwaka kuonyesha uboreshe wapi kwenye mapungufu. Then wanakufanyia assessment Tena Kwa miezi mingine sita.

Bila kufanya kosa la kinidhamu ningumu kufukuzwa kazi, labda usitishiwe mkataba baada ya mkataba wako wa awali kuwa umeiisha. Lakini pia dalili huanza kuziona mapema.

Mwajiri akikufukiza kazi kiholela anaweza kukulipa pesa zote ulizostahili kulipwa ndani ya mkataba wako, kama muajiriwa unajua haki na wajibu wako.

Pia hakuna muajiri ambae anataka kufukuza watu kazi nakuajiri wapya Kila mara.
Haya ni maneno hata kwenye khanga yako na sio uhalisia.
Nilishashuhudia jamaa anaondolewa kazini tena kafanya miez 4 tyuuh.

Acha kucheza na watu wakiamua lao.
 
bi shost hyo sio ndoa kuwa unatakiwa usilale na pichu, hyo hapana bwana, hata ndoa kwani we kila ukiambiwa panua unapanua tuu, si kuna siku unasemaga umechoka?
Nitachokaje na nilitoka kwetu kuja kwake kufata kupanuliwa?
Nitasema nimechoka, yeye asipo afiki lazima nipanue tyuuh.

Yeye atoe pesa kila akiombwa.
 
Back
Top Bottom