Jamaa yangu huko Bongo ni CCM kindakindaki ila kwa Kenya husifia sana upinzani

Jamaa yangu huko Bongo ni CCM kindakindaki ila kwa Kenya husifia sana upinzani

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Huwa siwaelewi baadhi ya Watanzania, kuna huyu mshikaji huwa namuona anavyosifia CCM na ni mwanachama kindaki ndaki wa chama tawala, ila humkosi kwenye ufuatiliaji wa kila kinachofanywa na wapinzani Kenya, husifia sana na kushabikia matukio yote ya upinzani ikiwemo ukosoaji wa serikali na hata maandamano ya wapinzani wa Kikenya.

Sijui kwa Bongo ni aidha Wapinzani huko wamemfeli haoni umuhimu wao au kipi haswa.
 
Sio huyo tu wabongo wengi tu tunafuatilia siasa za Kenya sababu zipo competitive and unpredictable yaani mpaka sasa haujui nani atashinda urais 2027. Ila huku kwetu interest imepungua maana unajua hata iweje 2030 CCM itapita bila kupingwa so hakuna kitu interesting tena kwenye siasa zetu.
 
Yule Yohana mbatizaji hata simuoni siku hizi.
 
Sio huyo tu wabongo wengi tu tunafuatilia siasa za Kenya sababu zipo competitive and unpredictable yaani mpaka sasa haujui nani atashinda urais 2027. Ila huku kwetu interest imepungua maana unajua hata iweje 2030 CCM itapita bila kupingwa so hakuna kitu interesting tena kwenye siasa zetu.
Kenya 2027 ni William Ruto, kama hujui hili basi wewe ni mwanafunzi wa siasa za Kenya.
 
Kenya 2027 ni William Ruto, kama hujui hili basi wewe ni mwanafunzi wa siasa za Kenya.
Nani kakudanganya? Kwamba ODM bila odinga inaweza kumpa ushindi Ruto ambaye hana kura za wakikuyu?

Kuwa serious alliance ya wakamba, wakikuyu na waluhya inamuondoa Ruto asubuhi sana.

Mgombea akiwa Musyoka na mgombea mwenza Ndindi Nyoro kwisha habari kwa Ruto. Mind you Natembeya/wamalwa wataleta kura za waluhya, Gachagua/Nyoro za wakikuyu na Matiangi za Wakisii.

Politics is a game of numbers
 
Back
Top Bottom